Simu inaniomba ni sign in google email account ambayo ilikuwemo na haikuwa email yangu bila kuweka hiyo email imegoma kabisa

Simu inaniomba ni sign in google email account ambayo ilikuwemo na haikuwa email yangu bila kuweka hiyo email imegoma kabisa

Nimedownload FRP BYPASS APK app lakini haifunguki inaandika FRP BYPASS HAS STOPPED nifanye nini??
 
Na A20 lakin imezima kioo ghaflaa na sujaiangusha wala nn, Nini shida apo ??!
Ila hicho kioo nilibadilisha
 
Back
Top Bottom