Utakuwa umeinunua kwa mtu ikiwa tayar na hyo account sasa wewe hukuifanya iwe yako na ukaendelea tu kuitumia. Sasa hapo msaada ni kwenda kwa fundi aliyekaribu na wewe umsikilizeWAKUU Natumia TECNO WX3
Jana kuna jamaa yangu kairestore sasa inaniomba ni SIGN IN GOOGLE EMAIL ACCOUNT ambayo ilikuwemo na haikuwa email yangu bila kuweka hiyo email imegoma kabisa kuvuka hii hatua!
Wakuu nasolve vipi hili ili kuirejesha katika hali ya kawaida?
Njoo pm nkusaidie ila mkono mtupu haulambwiNimenunua kwa mtu mwingine, nimemuuliza kuhusu email na passoword yake kasema amesahau
nisaidie mkuu kama kuna njia mbadala plz
Hebu shirikisha bongo yako na internet njia zipo nyingi sana YouTube za ku bypass FRP lock. Ingia Google search utachagua njia itakayo faa.WAKUU Natumia TECNO WX3
Jana kuna jamaa yangu kairestore sasa inaniomba ni SIGN IN GOOGLE EMAIL ACCOUNT ambayo ilikuwemo na haikuwa email yangu bila kuweka hiyo email imegoma kabisa kuvuka hii hatua!
Wakuu nasolve vipi hili ili kuirejesha katika hali ya kawaida?
WAKUU Natumia TECNO WX3

ok,tuma risiti ya manunuzi kwanzahapo kwenye bypass frp nipo maelekezo kidogo mkuu
Simu ipo restored nikiiwasha inaniomba email tu je hiyo app nitaidownload vipi? nitaitumia vipi? au naidownload kwenye simu nyingine halafu nita unlock vipi hii simu yenye tatizo?deal na frp, unaweza kutumia Google play store wakati unaifungua mwanzo kabisa.......anyway issue yenyewe ni illegal