Phone4Sale Simu inauzwa

Phone4Sale Simu inauzwa

sio kila mtu ana afford za dukani, ndio maana pia kuna nguo za mtumba, pia hamna biashara salama kila biashara ni risk, ni kuwa makini na kupiga pucha kitambulisho na kuandikishana mkataba plus shahidi... ila hiyo iwe simu ys maana sio ununue kisim cha laki, laki mbili af utake mpeane mikataba
Kiusalama si vizuri kununua simu ya mkononi,simu zipo nyingi mpya madukani,nimeshafunga Jela watu 3 tofauti kwa kosa la kumiliki simu walizozinunua mtaani zilizopatikani baada ya wamiliki halali wawili kuuawa na mmoja kujeruhiwa wakati wanaporwa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom