INAUZWA Simu Iphone 4S, zinauzwa @Tsh 180,000/-

Poa mwanangu nitakuja kuzicheck tuone
 
haina video call..ht insta zingne zmegomaga..ila ina picha nzuri,,na mm nilikuwa nayo
 
Poa mwanangu nitakuja kuzicheck tuone
wewe ni mnafiki, mara asante kwa kutusanua mara nitakuja dukani, watu wengine mpo kuharibu tu biashara au nyuzi za watu. simu zetu ni ios 8 na ios 9 zinakubali apps nyingi muhimu. simu tunauza zaid ya moja kama kuna shida ya kawaida unarudisha unapewa ingine.
 
haina video call..ht insta zingne zmegomaga..ila ina picha nzuri,,na mm nilikuwa nayo
mkuu simu zetu ni ios 8 na ios 9 zinakubali apps nyingi na hata video call za whatsapp zinakubali. sidanganyi sisemi uongo, njoo ununue mwenyewe na utajionea.
 
dukani kwako mm kweli nakujua.

nilifika siku moja kuchukua ,ila haikuwa na cable ya charge , wewe hukuwepo nilimkuta dogo flani hivi;

hakuna punguzo kidogo ?
 
dukani kwako mm kweli nakujua.

nilifika siku moja kuchukua ,ila haikuwa na cable ya charge , wewe hukuwepo nilimkuta dogo flani hivi;

hakuna punguzo kidogo ?
Karibu mkuu, bei ni hiyo Tsh 180,000/- haipungui mkuu karibu tena.
 
no i am not sure, hata hivyo ios 12 ya nini wakati simu inakupa kila unakichotaka. Karibu simu ni uzuri na utakua mshahid mzuri.
😂😂eti ios 12 ya nini?

Hoja yako haijashiba mkuu! Huoni umuhimu wa simu kuwa na current version?
 
😂😂eti ios 12 ya nini?

Hoja yako haijashiba mkuu! Huoni umuhimu wa simu kuwa na current version?

Je wewe hiyo simu unayotumia ina latest version ya os kama ni latest android au latest ios au latest windows??

Devices vingi tu vya apple hazina hiyo latest version ya ios 12 ambayo ndio imetoka tu mwezi wa September 2018 na bado vinapiga kazi vizuri tu

Lakini hizi Iphone 4S tunaziuza kwa bei ya offer kwa tsh 180,000/- na zina ios 9 ambayo inakubali apps nyingi karibia zotemuhimu na nyinginezo
 
Ok mkuu
 
Kwanini usiuze bei ya sadaka tu hata,laki laki ili kukwepa maswali maswali mengi???
 
Kwanini usiuze bei ya sadaka tu hata,laki laki ili kukwepa maswali maswali mengi???
mkuu kusudio ya biashara ni faida ili iendelee kuwepo, sasa biashara uuze kwa sadaka tena? Nipo hapa kujibu maswali yoyote yale, na hata uuze kwa pesa kiasi gani bado maswali yatakuwepo tu mkuu wangu.
 
Dah mie nilinunua hapo kwenu 4s ya GB 16 ina iOS ya 9
Tatizo ni betri tu rafiki
Charger mlinipatia Kwa Elfu 5

Yeah Apps zote nazotumia ktk IPhone 7 Yangu karibia zote zilikubali isipokuwa 1 tu
Azam - ambayo inataka simu iwe na ios ya 10
 
zima data mkuu wangu na zima 3g network ukiwa huitumii, use edge network ukiwa hutumii data, inasaidi simu kukaa na chaji muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…