Abuu Said
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 4,010
- 4,763
Poa mwanangu nitakuja kuzicheck tuonesio kweli simu tunazouza zinakubali whatsapp na apps nyingi tu na OS version, na iphone zetu ziko updated kuna ambazo ios 8 na nyingine ios 9
kuhusu video call ya whatsapp zinakubali pia inawezekana ume install old version ya whatsapp kwenye simu yako old version ambayo haikubali hata web whatsapp