INAUZWA Simu Iphone 4S, zinauzwa @Tsh 180,000/-

INAUZWA Simu Iphone 4S, zinauzwa @Tsh 180,000/-

Joined
May 8, 2018
Posts
75
Reaction score
34
Iphone 4S, Tsh 180,000/-

Miliki simu ya Iphone ya kijanja kwa bei poa kabisa!

3G Internet speed

Whatsapp

Facebook

Instagram

Twitter

8gb / 16gb

NO icloud / Hazina Icloud

Tumia Laini yoyote

Wahi kabla hujachelewa!

Quantity; more than 50 units

Condition; used but in very good condition zipo na hali nzuri.

Guarantee ya simu ipo

Mikoani tunatuma, ila utalipia gharama ya usafiri.

Tunapatikana Kariakoo, Tunatazamana na kituo cha mwendokasi cha gerezani.

Jumla na rejareja tupigie 0718032837 / 0688184986

Karibuni wakuu
SAM_3863.JPG
SAM_3865.JPG
SAM_3867.JPG
SAM_3868.JPG
 
Jeshi la pilisi limeshatutahadharisha kuwa tuepuke kununua simu kama hizo kwa MTU. Kwa sababu zimepatikana kwa mauaji,
 
Mwenyewe nina Iphone 4 IOS version 7.12 nilipoteza laini imegoma kabisa ku register line mpya.NO WHATSAPP
Ninayo kama tochi tu hapa
 
iphone 3,4,5,6 kama iPOD tu kwa sasa...
6+ ,6s na kuendelea hadi Xs ndio simu...
 
Jeshi la pilisi limeshatutahadharisha kuwa tuepuke kununua simu kama hizo kwa MTU. Kwa sababu zimepatikana kwa mauaji,
Fact kuna mshikaji wangu mmoja mwezi uliopita amegongwa fine hovyo around 3 milions akinunua simu kwa mtu asiyemjua wakaanza kuitrace wakamkuta nayo akaambiwa ili asalimike awaoneshe aliye muuzia kumbe hata hamjui ndo kalimwa hiyo 3mil na police.HATARI SANA KUNUNUA SIMU MIKONONI MWA WATU SI WOTE WEMA
 
Kwa hyo ukifuta simu inaweza kushibdwa kuinstall Tena...?
Whatsapp apps inakubali ios 9 kwenda juu.
Hii simu apple wameshaifutilia mbali mwisho wake ni ios 7.

Ila nunueni ili na nyie mmiliki iphone.
Hapa ni JF. Tunaelezana ukweli hatuharibiani biashara.

Kwa vile muuzaji kashasema inakubali whatsapp sikatai kwa sababu na mm natumia whatsapp ila hitakuwa na video call.
Muuzaji na hapo nadanganya?
 
sio kweli.

I phone 3G,4G na 4s ndio makopo.

Ila iphone 5s kwenda juu bado ziko poa na unaweza ku update features zote na current ios
mkuu mimi nafanya jokes tu,no hard feelings bro!
 
Whatsapp apps inakubali ios 9 kwenda juu.
Hii simu apple wameshaifutilia mbali mwisho wake ni ios 7.

Ila nunueni ili na nyie mmiliki iphone.
Hapa ni JF. Tunaelezana ukweli hatuharibiani biashara.

Kwa vile muuzaji kashasema inakubali whatsapp sikatai kwa sababu na mm natumia whatsapp ila hitakuwa na video call.
Muuzaji na hapo nadanganya?
sio kweli simu tunazouza zinakubali whatsapp na apps nyingi tu na OS version, na iphone zetu ziko updated kuna ambazo ios 8 na nyingine ios 9
kuhusu video call ya whatsapp zinakubali pia inawezekana ume install old version ya whatsapp kwenye simu yako old version ambayo haikubali hata web whatsapp
 
Kwa hiyo muuzaji ni kweli kuwa iOS huwezi kui update?

unajua kuna watu wanachanganya iPhone 4 na iPhone 4S

iPhone 4 kweli ina shida ya ku update ios nyingi zinakuwa na ios 7.1.2 na zinakataa ku update kwenda ios 8 , na kwa version hiyo ya ios 7.1.2 bado utaweka apps nyingi tu muhimu na zikafanya kazi kama whatsapp instagram facebook na nyinginezo. Ila apps nyingine ndio zitakua zinahitaji ufanye update hadi version ios 8 au ios 9.

Lakini iPhone 4S zinakubali update hadi ios 9 na hizi tunazouza nyingi ni ios 8 na ios 9 na apps nyingi tu muhimu appstore utaweza kuziweka na kuzitumia.
 
Mwenyewe nina Iphone 4 IOS version 7.12 nilipoteza laini imegoma kabisa ku register line mpya.NO WHATSAPP
Ninayo kama tochi tu hapa
Pole mkuu ni vizuri umesema hiyo simu ni iPhone 4 sio iPhone 4S , iPhone 4S tena ikiwa na iOS 8 au ios 9 haina tatizo hilo.
 
Whatsapp apps inakubali ios 9 kwenda juu.
Hii simu apple wameshaifutilia mbali mwisho wake ni ios 7.

Ila nunueni ili na nyie mmiliki iphone.
Hapa ni JF. Tunaelezana ukweli hatuharibiani biashara.

Kwa vile muuzaji kashasema inakubali whatsapp sikatai kwa sababu na mm natumia whatsapp ila hitakuwa na video call.
Muuzaji na hapo nadanganya?
Asante mkuu kwa kutusanua nilishachukua namba nimcheki jamaa kumbe famba basi bwana subiri tukomae tu na Sumsung
 
Back
Top Bottom