Simu izi???????????????????!

Mwanakili90

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
1,568
Reaction score
245
Hua unajisikiaje unapopigiwa simu na mpenzi wako wa kike zaidi ya dakika20 japokua hana kazi,wala shughuli yoyote ya kumwingizia kipato?hua unahisi nini? Au ndo uzungu wenyewe?
 
Hua unajisikiaje unapopigiwa simu na mpenzi wako wa kike zaidi ya dakika20 japokua hana kazi,wala shughuli yoyote ya kumwingizia kipato?hua unahisi nini? Au ndo uzungu wenyewe?

extreme! .....kwan ww huwa unafikiria nn?
 
Kwani tatizo liko wapi?Mna tabu kweli nyie..mkipigiwa shida..msipopigiwa shida!
 
Mbona huulizi anakula nini au anaishi vipi!Kwani kupiga simu inacost million ngapi?
jaman kula ni haki ya msing cdhan kama linauhusiana na upatikanaj wa vocha.
 
Credit humuwekei? mi nashangaa sana utakut a mwanaume anajua kabisa demu wke hana kazi halafu anamuuliza mbona hujibu sms zangu au umekuta miss call mbona hujapiga wakati anajua fika mwenzake hana kazi, Hapa kama anakupenda yuko tayari kutumia mbinu yoyote ili muwasiliane, either kuomba kwa ndugu wazazi na hata kutumia za wale mabazazi ambao wanatoa hata kama hawapendwi
 
mmmmmm wewe yanatoka moyon unayoyasema?
 
mnamambo nyie ndo maana mi huwa nawachezea tu kama makatuni:rain:
 
Hua unajisikiaje unapopigiwa simu na mpenzi wako wa kike zaidi ya dakika20 japokua hana kazi,wala shughuli yoyote ya kumwingizia kipato?hua unahisi nini? Au ndo uzungu wenyewe?

Nadhani ingekuwa vizuri ukamweleza ana kwa ana kuwa asikupigie simu muda mrefu vile hana kipato, say muongee dakika 5 badala ya 20. Kwa kuandika haya unadhani atakuwa kapata ujumbe kwamba unamshangaa anapokupigia simu na kuongea nae dkk 20?
 
jaman kula ni haki ya msing cdhan kama linauhusiana na upatikanaj wa vocha.
Nlichomaanisha ni kwamba kama hana kazi na bado anaishi ina maana kuna mtu au kitu kinachomwezesha!Sasa hapo ndipo anapopata vocha!
 
Hua unajisikiaje unapopigiwa simu na mpenzi wako wa kike zaidi ya dakika20 japokua hana kazi,wala shughuli yoyote ya kumwingizia kipato?hua unahisi nini? Au ndo uzungu wenyewe?

hizo dakika 20 ni za mtandao tofauti na huo unatumia ww? kama nyote mnatumia mtandao aina moja mi naona hiyo si ishu kubwa kukupigia hata kama kazi hana. coz anakupenda anakupigia, na kama hakupendi hata kama pesa anayo, dakika 1 ni nyingi kwake.
 
akikupigia zikipita dakika tano,mwambie zinatosha halafu uone yeye atakuambia nini
 
mnamambo nyie ndo maana mi huwa nawachezea tu kama makatuni:rain:

ana mambo hasa!! Mbona haulizi anapata wapi hela ya kula, mavazi na mazaga zaga mengine.
Simu dk 20 tu analalamika. Kha!!
Anayemlisha na kumvisha ndie anaempa vocha nukta
 
NITASEMA UKWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO.
Huwa tunapenda sana kuomba vocha kwa wanaume mbalimbali. yule unayemuomba vocha hata kama akikutumia haumpigii yeye ila unambip japo amekutumia. unampigia mwingine tena mwanaume. na kama boyfriend wangu akinitumia vocha simpigii pia nitamuandikia sms au kumbip japo simu ina hela ila nitampigia mwanaume mwingine. vivocha huwa vinatukamatisha wengi sana maana lazima kuna nyingine zinalipwa interms of kind not cash.
 
Kazi kwenu kina kaka!!!!Mtaombwa vocha mpaka mifuko ichakae alafu wanapigiwa wanaume wenzenu!!!!!:rain:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…