Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 245
Hua unajisikiaje unapopigiwa simu na mpenzi wako wa kike zaidi ya dakika20 japokua hana kazi,wala shughuli yoyote ya kumwingizia kipato?hua unahisi nini? Au ndo uzungu wenyewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hua unajisikiaje unapopigiwa simu na mpenzi wako wa kike zaidi ya dakika20 japokua hana kazi,wala shughuli yoyote ya kumwingizia kipato?hua unahisi nini? Au ndo uzungu wenyewe?
Ningekua najibu nisingeuliza kaka.extreme! .....kwan ww huwa unafikiria nn?
Tatzo hana kazi,Kwani tatizo liko wapi?Mna tabu kweli nyie..mkipigiwa shida.msipopigiwa shida!
Tatzo hana kazi,
Mbona huulizi anakula nini au anaishi vipi!Kwani kupiga simu inacost million ngapi?Tatzo hana kazi,
jaman kula ni haki ya msing cdhan kama linauhusiana na upatikanaj wa vocha.Mbona huulizi anakula nini au anaishi vipi!Kwani kupiga simu inacost million ngapi?
mmmmmm wewe yanatoka moyon unayoyasema?Credit humuwekei? mi nashangaa sana utakut a mwanaume anajua kabisa demu wke hana kazi halafu anamuuliza mbona hujibu sms zangu au umekuta miss call mbona hujapiga wakati anajua fika mwenzake hana kazi, Hapa kama anakupenda yuko tayari kutumia mbinu yoyote ili muwasiliane, either kuomba kwa ndugu wazazi na hata kutumia za wale mabazazi ambao wanatoa hata kama hawapendwi
Hua unajisikiaje unapopigiwa simu na mpenzi wako wa kike zaidi ya dakika20 japokua hana kazi,wala shughuli yoyote ya kumwingizia kipato?hua unahisi nini? Au ndo uzungu wenyewe?
Nlichomaanisha ni kwamba kama hana kazi na bado anaishi ina maana kuna mtu au kitu kinachomwezesha!Sasa hapo ndipo anapopata vocha!jaman kula ni haki ya msing cdhan kama linauhusiana na upatikanaj wa vocha.
Hua unajisikiaje unapopigiwa simu na mpenzi wako wa kike zaidi ya dakika20 japokua hana kazi,wala shughuli yoyote ya kumwingizia kipato?hua unahisi nini? Au ndo uzungu wenyewe?
kama anaweza kununua chakula,iweje vocha iwe big issue?jaman kula ni haki ya msing cdhan kama linauhusiana na upatikanaj wa vocha.
mnamambo nyie ndo maana mi huwa nawachezea tu kama makatuni:rain:
NITASEMA UKWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO.
Huwa tunapenda sana kuomba vocha kwa wanaume mbalimbali. yule unayemuomba vocha hata kama akikutumia haumpigii yeye ila unambip japo amekutumia. unampigia mwingine tena mwanaume. na kama boyfriend wangu akinitumia vocha simpigii pia nitamuandikia sms au kumbip japo simu ina hela ila nitampigia mwanaume mwingine. vivocha huwa vinatukamatisha wengi sana maana lazima kuna nyingine zinalipwa interms of kind not cash.