Simu kujirudia kutuma SMS moja tatizo NI nini?

Simu kujirudia kutuma SMS moja tatizo NI nini?

Mr Suprize

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
869
Reaction score
961
Naomba msaada simu yangu aquos sense 5g natumia laini ya voda NI week sasa nimtumia mtu SMS may be Habari! Kule nakotuma SMS zinaenda zinaenda zaidi ya 5 Yani inakuwa kama hivi
Habari
Habari
Habari
Habari
Naona NI Kero nimejaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja wanasema hawaoni tatizo kwenye laini yangu ,
Nisaidieni mwenye uzoefu WA hili
 
Mkuu habari, Hapo jaribu kubadili app ya message unayotumia jaribu Textra sms, halafu pia,
Kama hutojari nitumie picha ulizopiga na hiyo sense, nna mpango wa kuchukua sense 6 5G.
kwenye simu changu hua ni Camera na Chipset yake sema ndo hivo budget ya S23 hakuna.
 
Nitafute nikupe simu kwa bei nafuu kabisa
IMG-20240525-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom