Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajuni pole kwa hilo!Mkuu Bak kwa jinsi tunavyoishi na wakwe zangu hatuna matatizo na tumekuwa tunashirikiana katika shida na raha. Natumekuwa pale tunapokumbuka isipokuwa nimepata picha moja kwamba kumbe ukiona mtu anakupatia zawadi jua na wewe unatakiwa urudishe kwa kile kiwango.. am wondering ndo maana watu wakati wa harusi ubwaga machozi wakijua fika zile zawadi lazima zilipwe... je ni sahii kukataaa zawadi kama unajua hutaweza kuzilipa?
La msingi wewe omba msamaha tu,
hilo la mtu mzima kudai zawadi ya b/day nalo ni neno pia,
jipange this weekend nendeni pale na mkeo na kahela kwenye
bahasha omba samahani waambie mlijisahau tu.