EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,675
- 2,117
Wadau ni wapi tapata simu za kichina soft touch na blackberry kwa bei ya jumla kwa hapa dar, ambae anajua tuwasliane bei iwe kuanzia elfu 35, tachukua za milion 1. Mawasiliano ni 0766988326 au Email, [email protected]. KAMA UNAZO NITUMIE CONTACT ZAKO.