- Thread starter
- #21
Maana yake ni kwamba usihangaike sana wala usisumbuliwe na hizo simu maadamu una mumeo ndani hayo mengine just ignore
Ok, kama uko na huyo mume (kama statu tuu) yani unaona kabisa hana feelings na wewe kabisa hapo pia ni ignore!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana yake ni kwamba usihangaike sana wala usisumbuliwe na hizo simu maadamu una mumeo ndani hayo mengine just ignore
Mbuu ndugu yangu, asante kwa ushauri. Ila methali yako au niseme msemo wako sijui, wala sijauelewa kakangu. Hebu nifafanulie mweee!
...jambo lililokuwa likinisumbua kwa mda mrefu sana.
My hubby anatabia ya kutopokea simu sometimes
...cmu yake inaweza kuuita kwa mda mrefu bila yeye kupokea.
Je nivema kuwa namuuliza kuwa ni nani au je ni vipi watu huu behave wanapoishi wawili katika maswala ya simu. Maana sipendi kukwazika na sipendi kumkwaza pia.
...hasemi ni nani anakaa kimya tuu! Ila kwa investigations zangu mara nyingi huwa ni rafiki zake wa kiume.
Ok, kama uko na huyo mume (kama statu tuu) yani unaona kabisa hana feelings na wewe kabisa hapo pia ni ignore!
Za leo wa ndugu, naomba kuuliza je ni fanye nini na tabia ya mume wangu kuhusu simu(mobile phone) Kwa kweli ni jambo lililokuwa likinisumbua kwa mda mrefu sana. My hubby anatabia ya kutopokea simu sometimes, yn cmu yake inaweza kuuita kwa mda mrefu bila yeye kupokea. Then, hasemi ni nani anakaa kimya tuu! Ila kwa investigations zangu mara nyingi huwa ni rafiki zake wa kiume. Je nivema kuwa namuuliza kuwa ni nani au je ni vipi watu huu behave wanapoishi wawili katika maswala ya simu. Maana sipendi kukwazika na sipendi kumkwaza pia.
jamani mambo ya simu haya! rafiki yangu yalimpata ya kumpata, mume karudi kutoka ofcn kaingia bafuni kuoga, mke akaona simu ya mume inawaka taa tu, mume aliweka simu yake silent, kumbe ni mdada anaitwa mume kasave rashidi ujenzi! mke kafungua msg kasoma" darlin nimeshafika hotel njoo room no206 nakusubiri" mke akaijibu "nipo home na wife yupo sasa usitumie no hii tumia hii" akampa no yake, na akafuta ile msg kwenye simu ya mume,mwanamke kule ana chart anajua anachart na huyo darlin wake kumbe anachart na mke, mume katoka bafuni kaendelea ku watch movie mke akamwambia natoka kidogo! straight hotel aliyoambiwa, kufungua mlango ni rafiki yetu wa kufa na kuzikana, wanawake sisi puuu,yaliyotokea hapo ni marefu........

...mshamba tu huyo, si angesema kakosea namba?
Mbona limekugusa mbuuuu! ndo hivyo tena mwaya arubaini zake zilimfika.
...mshamba tu huyo, si angesema kakosea namba?
Mbu mshtuko, cha kuibia ni chakuibia tu, palikuwa hapatoshi siku hito, na mume huko home hana habari, mke karudi home hajamuambia lolote mume mpaka mume kayasikia kesho yake ofcn hukoooo, alihamaki.
mume huko home hana habari, mke karudi home hajamuambia lolote mume mpaka mume kayasikia kesho yake ofcn
AO,Shosti, sasa nikiwa mbogo ntawapata na hao mashoga! Cha msingi mimi naona ni heri niendelee kuwa kivyangu vyangu au nitafute mashoga walioko kwenye ndoa zao pia. Au sio! Maana thio thiri mimi toka nyumbani sipendi mashoga na nikiwa naye si shey naye mambo yangu ya ndani. Au vipi shosti belinda!
Hizi simu mikosi sana, sasa hivi ndo natambua kwanini babu zetu na bibi zetu ndoa zao zilidumu na walikuwa na furaha nyakati zote! Hakukuwa na vifaa vya kizushi kama hivi, ukiwa na mzigo wako kijiji cha jirani unauzukia na kuuchinja kimyakimya-hakuna cha bipu wala meseji!
Siku hizi-mhhhh........uko chemba na 'small house' yako, mara ngriiii,ngriii,ngriiii- 'Hun uko wapi?' Unajibu huku kiroho kikienda mbio 'aah...niko hapa Tunda Pub, tunapiga mbili tatu na washkaji wa job'...'Mbona siko mbali na hapo? nipe dakika tano tu nitakuwa hapo, niodee mishkaki kabisa'....Mama wee, picha lishasanuka!
Masuala ya kujibu simu yanaleta maswali yake. Kwa mfano kama mko na mwenzi wako unakuta simu inaita halafu anakuacha anaenda mbali kidogo kuongea ila ukiwa mdaku ndio matatizo yanapoanzia. Ni vyema ukajifanya huna habari kama alikuwa anaongea na mtu usipate pressure bure. Akipenda atakueleza mwenyewe. Jaribu kutojihusisha sana na simu ya mwenzi wako.
iite aende kupokea pembeni then arudi usimuulize?inahitaji moyo aisee, mimi sina tabia ya kupokea simu ya mr but ikiita aipokee hapo hapo tulipo sio kwenda kando nitajiuliza maswali yasiyo na majibu ndipo hapo nitakapohoji sasa, haa ni ngumu.
...jamani jamani, network husumbua saa nyingine!
So na yangu pia network ikiwa inasumbua niende nikapokee pembeni. au sio! Tit for tat! lol
Asante sana ndugu, yani ushauri wako huo wakutoa sauti nilikuwa sina kabisa. Na kuhusu no. ya demu kusave kama ni jamaa yake, hapo uhakika ni nnao maana hata mimi kabla ya kuolewa (enzi za usichana wangu) nakumbuka niliwahi kumfanyia jamaa mmoja hivyo maana hakuwa na muelekeo wa mapenzi na mimi na akawa na wivu. So that trick is in my finger tips. Stay blessed.