Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka unatokea ule mkoa waokula senene.SAMSUNG
s4 moja
s5 zaidi ya 5
j5 zaidi ya 5
note moja
note 2 tatu
note 3 zaidi ya 5
grand prime plus moja
note 4 moja
note 5 tatu
HUAWEI
p7 mbili
p8 1
p8 lite zaidi ya 5
gr5
gr5 2017
p10 plus(Huyu mnyama ndo namtumia mpaka sasa)
SONY
z1 moja
z2 mbili
z3 tatu
z3+ moja
z5 mbili
IPHONE
4s moja
5 tatu
5s tatu
HTC
m7 nne
m8 moja
m9 moja
LG
g2 2(niliipenda sana design ya hii simu)
g3 mbili
BLACKBERRY
z10 moja
Simu nyingi zimesahaulika hapo... na pia kuba brand zingine ambazo siyo famous sijaziandika....
nnewahi kutumia s5 na note 3 ambazo zilikuwa zinashinda na charge siku nzima while zingine zikiwa zinakaa na charge kawaida, nadhani ni suala la utofauti wa model tu... Pia kwa hizi samsung za model za chini camera yake ipo kawaida except kuanzia s5 na note 4 ambazo zina mode kwenye camera ambayo inaitwa selective focus... only this mode ndo inatoa picha clear...
pia kwa upande wa sony, most of them zilikuwa zinakaa na charge japo zipo very delicate na zinapata sana moto...
kwa upande wa htc, ilikuwa ni simu poa... with the best camera mfano kama m9 ilikuwa na camera nzuri sana na ni moja ya simu ambayo nilikaa nayo sana...
Iphone ni simu nzuri(best quality) na pia design nzuri pia... ila kwa hizi models za chini walizingua kwenye swala la charge.... may be kuanzia 6+,7+ na kuendelea....
Lg g2 ilikuwa ba best design.... kashape kazuri... screen to body ratio kubwa... super amoled display... but ndo zilikuwa hazikai na charge.... thou nmewahi tumia lg g3 tmobile... ilikuwa simu ngumu sana na ilikuwa inakaa sana na charge tofauti na lg g3 zingine
Blackberry z10 nayo ilikuwa poa sana.... simu haina navigation keys... watu wengi sana nilikuwa nawatoa ushamba.... nadhani simu zoote ambazo hazina navigation keys starting from iphone X wamecopy kwa huyu jamaa
huawei nyingi zilizotoka before 2016 zipo hazikuwa poa sana kwenye battery japo walikuwa na front camera bomba sana.... ukipata huawei iliyokuwa released from 2016 na kuendelea hutojutia... ni simu moja bomba sana... good design... best camera... large storage na pia kajitahidi sana kwenye battery....
Currently nipo na huawei p10 plus and soon I will switch to huawei p20 pro... Am in love with huawei now......
hiyo ndo experience yangu kwenye smartphones.....
kwa upande wangu nmeuza na kununua sana simu for the past two years.... zimeniingizia sana hela.... that is the reasonMkuu uko vzr, 2 yrs simu zote hizo ,mpk unabadilisha simu moja kwenda Nyingine shida ilikua ni nini?, mfano Mimi ni mpk simu iharibike au kuibiwa ndyo najikongoja kutafuta Nyingine, wewe vipi?
So ulikua unanunua for the personal use lkn akitokea mtu kafika bei ,unamuuzia ? Okey kama ni hivo sawa.kwa upande wangu nmeuza na kununua sana simu for the past two years.... zimeniingizia sana hela.... that is the reason
Mara nyingi aim ilikuwa ni kuuza... japo mara mojamoja ilikuwa kwa ajili ya kutumia.... lakini ndo hivo hata hizo za kutumia zilikuwa zinapata watu....So ulikua unanunua for the personal use lkn akitokea mtu kafika bei ,unamuuzia ? Okey kama ni hivo sawa.
Wewe ni fundi simu?SAMSUNG
s4 moja
s5 zaidi ya 5
j5 zaidi ya 5
note moja
note 2 tatu
note 3 zaidi ya 5
grand prime plus moja
note 4 moja
note 5 tatu
HUAWEI
p7 mbili
p8 1
p8 lite zaidi ya 5
gr5
gr5 2017
p10 plus(Huyu mnyama ndo namtumia mpaka sasa)
SONY
z1 moja
z2 mbili
z3 tatu
z3+ moja
z5 mbili
IPHONE
4s moja
5 tatu
5s tatu
HTC
m7 nne
m8 moja
m9 moja
LG
g2 2(niliipenda sana design ya hii simu)
g3 mbili
BLACKBERRY
z10 moja
Simu nyingi zimesahaulika hapo... na pia kuba brand zingine ambazo siyo famous sijaziandika....
nnewahi kutumia s5 na note 3 ambazo zilikuwa zinashinda na charge siku nzima while zingine zikiwa zinakaa na charge kawaida, nadhani ni suala la utofauti wa model tu... Pia kwa hizi samsung za model za chini camera yake ipo kawaida except kuanzia s5 na note 4 ambazo zina mode kwenye camera ambayo inaitwa selective focus... only this mode ndo inatoa picha clear...
pia kwa upande wa sony, most of them zilikuwa zinakaa na charge japo zipo very delicate na zinapata sana moto...
kwa upande wa htc, ilikuwa ni simu poa... with the best camera mfano kama m9 ilikuwa na camera nzuri sana na ni moja ya simu ambayo nilikaa nayo sana...
Iphone ni simu nzuri(best quality) na pia design nzuri pia... ila kwa hizi models za chini walizingua kwenye swala la charge.... may be kuanzia 6+,7+ na kuendelea....
Lg g2 ilikuwa ba best design.... kashape kazuri... screen to body ratio kubwa... super amoled display... but ndo zilikuwa hazikai na charge.... thou nmewahi tumia lg g3 tmobile... ilikuwa simu ngumu sana na ilikuwa inakaa sana na charge tofauti na lg g3 zingine
Blackberry z10 nayo ilikuwa poa sana.... simu haina navigation keys... watu wengi sana nilikuwa nawatoa ushamba.... nadhani simu zoote ambazo hazina navigation keys starting from iphone X wamecopy kwa huyu jamaa
huawei nyingi zilizotoka before 2016 zipo hazikuwa poa sana kwenye battery japo walikuwa na front camera bomba sana.... ukipata huawei iliyokuwa released from 2016 na kuendelea hutojutia... ni simu moja bomba sana... good design... best camera... large storage na pia kajitahidi sana kwenye battery....
Currently nipo na huawei p10 plus and soon I will switch to huawei p20 pro... Am in love with huawei now......
hiyo ndo experience yangu kwenye smartphones.....
Kwani lengo la hii thread yako ni nini hasa?Tuanzie hapo kwanza.na pia hapo sijagusia kabisa simu nilizotumia before 2016...
Sijawahi kuwa fundi simu.... never.... nazungumzia simu nilizonunua kwa pesa yangu... acha zile nilizowahi kuzishika.... na kama ningeandika na nilizowahi kuzishika basi lingekuwa balaa... zingefika zaidi ya 100 in totalWewe ni fundi simu?
Mika miwila! Labda izo ni simu za wateja wakileta kutengeneza ndo unazitumia
Okey na vipi mzigo ulikua unaufata mwenyewe abroad ?so it was somehow cheaper hata kutumia mwenyewe eeh. Mpk sahivi unaendelea na business au umeacha?Mara nyingi aim ilikuwa ni kuuza... japo mara mojamoja ilikuwa kwa ajili ya kutumia.... lakini ndo hivo hata hizo za kutumia zilikuwa zinapata watu....
kuna ndugu yangu mmoja alikuwa na trip nyinginyingi za nje.... japo zipo pia nyingi tu ambazo nmenunua humuhumu bongo....Okey na vipi mzigo ulikua unaufata mwenyewe abroad ?so it was somehow cheaper hata kutumia mwenyewe eeh. Mpk sahivi unaendelea na business au umeacha?