Simu nilizowahi kutumia for the past two years

Kwa dunia ya leo simu zote hizo zishapitwa na wakati...
 
Bila shaka unatokea ule mkoa waokula senene.
 
Mkuu uko vzr, 2 yrs simu zote hizo ,mpk unabadilisha simu moja kwenda Nyingine shida ilikua ni nini?, mfano Mimi ni mpk simu iharibike au kuibiwa ndyo najikongoja kutafuta Nyingine, wewe vipi?
kwa upande wangu nmeuza na kununua sana simu for the past two years.... zimeniingizia sana hela.... that is the reason
 
na pia hapo sijagusia kabisa simu nilizotumia before 2016...
 
Wewe ni fundi simu?
Mika miwili! Labda izo ni simu za wateja wakileta kutengeneza ndo unazitumia
 
Wewe ni fundi simu?
Mika miwila! Labda izo ni simu za wateja wakileta kutengeneza ndo unazitumia
Sijawahi kuwa fundi simu.... never.... nazungumzia simu nilizonunua kwa pesa yangu... acha zile nilizowahi kuzishika.... na kama ningeandika na nilizowahi kuzishika basi lingekuwa balaa... zingefika zaidi ya 100 in total
 
Mara nyingi aim ilikuwa ni kuuza... japo mara mojamoja ilikuwa kwa ajili ya kutumia.... lakini ndo hivo hata hizo za kutumia zilikuwa zinapata watu....
Okey na vipi mzigo ulikua unaufata mwenyewe abroad ?so it was somehow cheaper hata kutumia mwenyewe eeh. Mpk sahivi unaendelea na business au umeacha?
 
Simu zaidi ya hamsini(50) umetumia kwa miezi 24( 2yrs) inamana kila mwezi ulkuwa unanunua simu mpya hii kali kuliko,itakuwa muuza simu ww.
 
Umetisha kiongozi, ulikuwa kwenye research au nini ulikuwa unafanya? Tangu 2015 hadi leo nimetumia simu mbili tu.
 
Okey na vipi mzigo ulikua unaufata mwenyewe abroad ?so it was somehow cheaper hata kutumia mwenyewe eeh. Mpk sahivi unaendelea na business au umeacha?
kuna ndugu yangu mmoja alikuwa na trip nyinginyingi za nje.... japo zipo pia nyingi tu ambazo nmenunua humuhumu bongo....

kwa saiv nmesimama kdg.... napumzika....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…