Simu nyingi za Sasa zimekuwa ni mauchafu ya camera nyuma

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
1,531
Reaction score
2,140
Unakuta simu Ina sifa nzuri ukiangalia nyuma makamera utitiri, yani kipangiliyo kamera nyingi Iko hovyo sana sababu ya kamera nyingi ni nini kama Kuna umuhimu haziwezi kukaa ndani ya camera Moja kama DSLR, kamera Moja inatosha muiongezee nguvu sijui kama mnanisikia design ya simu kama 1plus 12 , 13 nyumba ni mbovu lakini simu inavutia kweli.

Simubovu muundo utafikiri ya kizamani yalikiwa na mvimbo nyuma manokia na ya Yale ya Sony k7 nadhani uwekaji wa kamera nyingi haufai kabisa

Simu zenye kamera nyingi na zinavutia kwa nyuma ni apple, Samsung A14, 15, S23, SONY 1 IV, V.
HOT 50 PRO.

HOJA KWANINI MAKAMERA MENGI KWENYE SMARTPHONE FAIDA NI NINI ALAFU POOR DESIGN NYUMA

NIMEANDIKA VIBAYA NIKO KWENYE BASI LA ZUBERI MPAKA KUKUCHE
 
Mkuu DSLR ni single reflex, kwahiyo inahitaji setup tha environment unayopigia object kuwa sawa, kwasabu inatake a shot kitu kama kinavyoonekana.

Kwahiyo ukisema waweke DSLR kwenye Camera za simu utafanya watumiaji wawe wanatembea na accessories kama Reflector na Taa (Lights)
Hivyo ni ngumu kutumia DSLR kwenye simu.

Na binafsi sio mpenzi wa camera, hivyo nachukia kuweka camera nyingi ambazo zipo exposed na ni risk ikipata ajali.
 
Oneplus na ndugu zao Oppo wanapenda kujaladia makamera kwenye simu alafu mpangilio mbovu. Bora Pixel wanaweka kwenye island moja. Sony huwa wana mpangilio mzuri mara zote. iPhone nazo zimekaa sawa.
 
Mkuu kama wewe sio mpenzi wa picha nzuri tofauti tofauti na mtumiaji mahiri wa camera kwenye simu ni bora utumie tu kitochi...

Maana ya kuwa na Lens nyingi kwa technology ilipofikia ni kwamba pale kuna lenses zaidi ya moja tofauti na haziwezi kukaa sehemu moja kama unavyo hitaji eg. Tele, Macro, Wide na Standard hizo ni lens nne tofauti kabisa...

Kukujibu swali lako kwa nini wasingefanya kama DSLR, inakua ngumu maana kama umetumia DSLR hizo type of lenses zote nilizoziorodhesha hapo juu inakubidi uzinunue kivyake na uwe unapachika kila unapotaka kuitumia moja wapo...

Ndo maana wale professional photographers wa kutumia DSLR unamkuta na bei kubwa Camera moja ila lens kijiji..

Sasa kwa upande wa simu wameturahisishia kutuwekea zote kwenye simu ndogo tu sema ujue kuzitumia vizuri wala hutoona kama ni macamera mengi nyuma pale. Shukrani!
 
Hasa ya mduara mkuubwa
Kama hii, simu nzuri tatizo design ya camera
1000034318.jpg
1000034319.jpg
 
Mkuu kama wewe sio mpenzi wa picha nzuri tofauti tofauti na mtumiaji mahiri wa camera kwenye simu ni bora utumie tu kitochi...

Maana ya kuwa na Lens nyingi kwa technology ilipofikia ni kwamba pale kuna lenses zaidi ya moja tofauti na haziwezi kukaa sehemu moja kama unavyo hitaji eg. Tele, Macro, Wide na Standard hizo ni lens nne tofauti kabisa...

Kukujibu swali lako kwa nini wasingefanya kama DSLR, inakua ngumu maana kama umetumia DSLR hizo type of lenses zote nilizoziorodhesha hapo juu inakubidi uzinunue kivyake na uwe unapachika kila unapotaka kuitumia moja wapo...

Ndo maana wale professional photographers wa kutumia DSLR unamkuta na bei kubwa Camera moja ila lens kijiji..

Sasa kwa upande wa simu wameturahisishia kutuwekea zote kwenye simu ndogo tu sema ujue kuzitumia vizuri wala hutoona kama ni macamera mengi nyuma pale. Shukrani!
Haziwezi kuwa Moja ikabaii settings ng kwa ndani au kama kunabugumu kwanini wasipamgilie muundo mzuri.

Muubd wa 2x2 unachukua nafasi kubwa kuliko 1 by 3 kama A15 etc
 
Back
Top Bottom