kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Nimeona watu wengi wanalalamika juu ya simu used from Dubai hususan Google Pixel na Aquos kupata moto
Zimekua na tabia ya kupata moto hovyo sana, yaani inapata moto kidogo tu mpaka inagoma kushoot camera kupiga picha au kurekodi video
Hii imekua common kwa simu za Aquos na Google pixel ambazo ni used
Pia zinakula bando balaa yaani zinabugia haswa, kwahyo ukiwa unanunua simu used zingatia hilo