Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kweli wewe fundiAlama ya reli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wewe fundiAlama ya reli
Dah kwenye uzi wa technology kule au wap mbona huu uzi ulinipita nitag kama unaukumbuka chiefChief-Mkwawa alisema mara nyingi hizo ni simu zilizokarabatiwa so ukinunua tarajia changamoto kadhaa japo si mara zote.
Mimi pia nina ushahidi juu ya swala hiloNi kweli kabisa Nina ushahidi wa hili...
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni.Nimeona watu wengi wanalalamika juu ya simu used from Dubai hususan Google Pixel na Aquos kupata moto
Zimekua na tabia ya kupata moto hovyo sana, yaani inapata moto kidogo tu mpaka inagoma kushoot camera kupiga picha au kurekodi video
Hii imekua common kwa simu za Aquos na Google pixel ambazo ni used
Pia zinakula bando balaa yaani zinabugia haswa, kwahyo ukiwa unanunua simu used zingatia hilo
Unajua dubai ndio ghala la kila kitu kutoka nje sasa hiz simu used ulaya zikifika dubai wanachofanya kama ni mbovu wanaabadilisha vifaa na kuweka vya kichina halaf inaonekana kama mpya kwa hyo lazima ipate moto sababu ya kuwekewa kufaa ambacho si originalNimeona watu wengi wanalalamika juu ya simu used from Dubai hususan Google Pixel na Aquos kupata moto
Zimekua na tabia ya kupata moto hovyo sana, yaani inapata moto kidogo tu mpaka inagoma kushoot camera kupiga picha au kurekodi video
Hii imekua common kwa simu za Aquos na Google pixel ambazo ni used
Pia zinakula bando balaa yaani zinabugia haswa, kwahyo ukiwa unanunua simu used zingatia hilo
Niuzie moja mkuu.Nina google pixel 6 pro mbili kutoka marekani used zote hazijawahi nisumbua