Simu nyingi za Used from Dubai zinapata moto haraka sana

Nina google pixel 6 pro mbili kutoka marekani used zote hazijawahi nisumbua
 
Hata ukiona na usijeona haimake sense kwangu..
 
Hizi simu ni changamoto sana ROM zake nyingi ni Computed kwa hiyo WhatsApp zinakataa sana kuna mtu ana solution ya hili??

Kama kuwatumia Email WhatsApp nimewatumia wamesema Kwa simu ambazo ROM Imebadlishwa whatsapp account haiwezekani labda ubadilishe simu
 
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni.

Quote
 
Hata Samsung
Natumia S21 kuna wakati inagoma ku play video Facebook inaleta ujumbe kuwa imechemka sana haiwezi kuplay video
 
Unajua dubai ndio ghala la kila kitu kutoka nje sasa hiz simu used ulaya zikifika dubai wanachofanya kama ni mbovu wanaabadilisha vifaa na kuweka vya kichina halaf inaonekana kama mpya kwa hyo lazima ipate moto sababu ya kuwekewa kufaa ambacho si original
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…