Simu nzuri kwa gharama ya laki tatu (300k)

Habari za weekend,
Kwa budget ya Laki tatu (300k) naomba ushauri kwenu ni simu gani nichukue yenye uwezo mzuri wa battery, camera na internal memory kubwa ya kukidhi matumizi ya kawaida.
Mkuu umepata bado???
 
Mimi ushauri wangu upo kwenye brand tu.Chukua samsung kwanza ni simu ambazo zinaeleweka zipo sokoni toka muda mrefu.Pili ni brand ambayo inakubalika popote ulimwenguni.Tatu ni miongoni mwa brand bora za simu.Hayo Masimu mengine wanayokutajia kama infinix,oppo,tecno na mengineyo yapo tu huku africa pengine na asia.Ukiachana na Samsung Brand nyingine bora ni Nokia japo wameshuka hadhi kidogo lakini wako vizuri kuliko hayo masimu mengine
Toa oppo kwenye list ya simu mbovu
 
Shida ya simu za. Samsung ili upate nzuri lazima na Bei ichangamke sana
Niliinunua a20 ikawa ipo very sluggish , kuliko xiaomi note 7 ambayo kwa Bei ni nafuu zaidi .
 
Watu wengine sijui wana mikosi na simu simu hiyohiyo mmoja anaikandia lakini kwa mwingine ni fresh kabsaa mimi nina Galaxy A10 ya toka mwaka juzi sijawahi kuona tatizo la namna yoyote la kufanya niichukie A10 vitatatizo ni vidogo vidogo mno kama punje ya haladari
 
Mkuu Naomba utaratibu namna ya kuagiza simu Kenya....natanguliza shukrani
njia rahisi na ya kuaminika utafute ndugu/jamaa/rafiki kenya unanunua anaipokea anakutumia kwa basi

kulikuwa na website inaitwa avechi walikua wanatuma huku ila kwa sasa wamesitisha.
 
Mimi ushauri wangu upo kwenye brand tu.Chukua samsung kwanza ni simu ambazo zinaeleweka zipo sokoni toka muda mrefu.Pili ni brand ambayo inakubalika popote ulimwenguni.Tatu ni miongoni mwa brand bora za simu.Hayo Masimu mengine wanayokutajia kama infinix,oppo,tecno na mengineyo yapo tu huku africa pengine na asia.Ukiachana na Samsung Brand nyingine bora ni Nokia japo wameshuka hadhi kidogo lakini wako vizuri kuliko hayo masimu mengine
Bado hujajua simu.
Oppo ndio imetoa largest smartphone shipments in Chinese market. Ni kwa asilimia 21% ya simu zote zilizouzwa China. Vivo ikafatia 20%, Huawei ikaja, ikafata Xiaomi na iPhone. Kati ya hizo simu 65% ni 5G, na China hawatumii simu za kijinga that's why soko kuu la high end flagships ni hiyo China.
 
Watu wengine sijui wana mikosi na simu simu hiyohiyo mmoja anaikandia lakini kwa mwingine ni fresh kabsaa mimi nina Galaxy A10 ya toka mwaka juzi sijawahi kuona tatizo la namna yoyote la kufanya niichukie A10 vitatatizo ni vidogo vidogo mno kama punje ya haladari
A10 sitaki hata kuisikia. Nimemnunulia mtu hakukaa nayo hata mwezi ikaharibika charging system, miezi michache ikaharibika mic mpaka uongee kwa earphones. Nishaziona nyingi zinasumbua, bado kuna S series na ugonjwa wake wa kuchora mistari ya blue kwenye screen. Mimi Samsung nina mikosi nazo
 
Jambo moja ambalo hujalitambua ni kwamba kuna simu feki.Na la pili utunzaji inaweza kuwa ni tatizo pia.kama navyokwambia A10 yangu haina shida yoyote mwaka na nusu sasa
 
Bado hujajua simu.
Oppo ndio imetoa largest smartphone shipments in Chinese market. Ni kwa asilimia 21% ya simu zote zilizouzwa China. Vivo ikafatia 20%, Huawei ikaja, ikafata Xiaomi na iPhone. Kati ya hizo simu 65% ni 5G, na China hawatumii simu za kijinga that's why soko kuu la high end flagships ni hiyo China.
"China hawatumii simu za kijinga" I marked your words son lakini usisahau pia counterfeit products pia zipo za kutosha tu kutoka china.Nina imani na samsung na nokia kuliko hizo nyingine,
 
Huwezi uza simu feki kwenye Chinese market. Hata European market kuna simu nyingi from China kuliko Nokia, LG, Sony na brands nyingine kubwa.

Nina Oppo ya Chinese version mwaka wa pili naitumia, haijabadilishwa chochote sio cover, charger, waya wa USB, wala haina protector.

Nimetumia Huawei Chinese version mwaka nikaiuza, mdogo wangu alikuwa na Honor brand ya Huawei iliyouzwa last year kaiharibu mwaka huu baada ya miaka mitatu anatumia.

Tunaona bimkubwa shabiki wa Samsung anavyobadili simu na kuzipeleka kwa fundi.

Zipo iPhone 7 refurbished zinakuja zinaharibika charger, zinapungua battery health ila hii ipo.

Juzi nikawaza ninavyozipinga iPhone X nikaichukua tena kwa mtu hapa nijaribu kuikubali. Simu mbaya vibaya mno afu inauzwa 1M, simu ina screen kama itel, panel imepangwa vibaya, nzito.

Nokia ni low end budget smartphones, hata middle end sidhani kama wanaleta changamoto. Unachokipata kwao ni uhakika wa Android version upgrade haraka
 
Habari za weekend,
Kwa budget ya Laki tatu (300k) naomba ushauri kwenu ni simu gani nichukue yenye uwezo mzuri wa battery, camera na internal memory kubwa ya kukidhi matumizi ya kawaida.

Kama bado huja nunua simu njoo nikupe iphone 6s Gb 64 kwa tshs 290,000 simu iko vizuri haina kreki wala mchubukuo wa aina yoyote ule pia ni used direct from Usa
 
Hivi vitu bana unaweza ukasema simu fulani nzuri lakini kumbe watu fulani zinawatesa tuseme tu simu brand aina yoyote inaweza kuwa tatizo.pamoja na hayo tecno naiweka kwenye bottom brands
 
Kama bado huja nunua simu njoo nikupe iphone 6s Gb 64 kwa tshs 290,000 simu iko vizuri haina kreki wala mchubukuo wa aina yoyote ule pia ni used direct from Usa
Nicheki 0769294681 nambie upo wapi tumalize biashara
 
Samsung A10s, A11 na A12
Infinix hot 9, 10. Note 5
Oppo A12
A10 sitaki hata kuisikia. Nimemnunulia mtu hakukaa nayo hata mwezi ikaharibika charging system, miezi michache ikaharibika mic mpaka uongee kwa earphones. Nishaziona nyingi zinasumbua, bado kuna S series na ugonjwa wake wa kuchora mistari ya blue kwenye screen. Mimi Samsung nina mikosi nazo
Muongo wewe[emoji16]muongo sana,A10 kabisa?muongo mkubwa wewe nunua simu mpya acha kununua mitaani ,,ninayo toka zinatok haijawah nisumbua hata chembe nipo na A 50 sasa na bado ninayo A 10 naitumia na bado inamoto ule ule
 
Back
Top Bottom