T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Sasa unabishana na mimi kuhusu simu niliyonunua kwa kutumia simu yako. Mimi nazungumza simu niliyonunua na ninazoona, wewe unazungumzia uliyonayo.Muongo wewe[emoji16]muongo sana,A10 kabisa?muongo mkubwa wewe nunua simu mpya acha kununua mitaani ,,ninayo toka zinatok haijawah nisumbua hata chembe nipo na A 50 sasa na bado ninayo A 10 naitumia na bado inamoto ule ule
Nikisema sili dagaa zinaniletea allergy utanibishia kwa vile wewe ukila hupati tatizo