Simu nzuri ya kifahari kwa Mwanaume ni Samsung

Samsung for life kwenye hizi bidhaa Simu,TV na washing mashine..
TV wanakimbiza na QNLED inaonyesha kama umemwaga unga wa sembe..
 
Hiyo ni simu ya kike wewe, wanawake wengi wanamiliki simu hiyo kachunguze utaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…