Simu ya aina gani umeshawahi kuitumia na ukaikubali sana?

Nokia 2100 ( 2006-2008)
Nokia express music 5130
Tecno T751 (2014)... network ilikuwa 2g mwsho ila ilikuwa vizuri speed kubwa movie nyingi nimedowloadna hio

lumia 620 (2015)
Nokia 2.1 (2019) present
nokiA 6.2 (2020) present
 
Hakuna simu Kali kama LG Nexus 5x simu nyepesi kama Peni halafu kamera kama Nikon
 
Chuma kinaitwa CINGULAR 8100, nikiwa kijana mdogo tu nilimiliki hilo dude enzi hizo. Ni pocket PC. Hatari sana. Chuma kiliharibika battery 2013 na sikuwahi kuipata kwani bongo land hazikuwepo na hazijawahi kuwepo
 
 
Hapa naona kila mtu anadai simu yake ya kwanza ilikuwa mara Motorola mara Phillips mara Nokia. Hamna anayetaka kukubali kuwa tecno ndio ilikuwa simu yake ya kwanza.
Tecno ni kwa walioanza kutumia simu juzi ila wakongwe ni siemens, Motorola, nokia n.k ndizo zilizoanza kutumika, hiyo tecno imekuja watu tayari tupo kwenye smartphone
 
Nlitumiaga Siemens (model nimesahau)
Lilikuwa na liantena
Wakati wa kuiwasha ina search netwrk
Ikikubali utasikia limlio..nga ngaa

Sim nyingine nlikubaligi nlitumia 3310 Nokia

Ova
 
Mi nilikuwa na kitu cha motorola chelsea kitu kina mwanga wa blue kwenye kioo acha kaisa ilikuwa mwaka 2006/07
 
Hata mimi nimeikubali Nokia Lumia 535 hadi leo ninayo japo imeshaharibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…