Napenda sana IPhone ila hawa Apple wanatuona sana waduanzi tunalemaa mikono kubeba simu na power bank ,yaani ikifika saa sita tu mchana kama mzee wa online 24hours lazima utafute chaji na power bank vipo wapi hakuna cha battery health 100 wala nini wajinga sana lkn ndio nitafanyaje
Blackberry bold 9900Nokia 500
Nokia E71
Samsung pocket
Black berry(sikumbuki vizuri ila ilikua ni touch screen na keypad)
Samsung s2
Samsung s3
Samsung s6
Iphone 8
Iphone 10
Samsung s10+
Duu umenikumbusha vile vya kukunja...vilikuwa matawi...hv hii kampuni ilikufa?Nokia C2 cha batan
Motorola cha batan vile vya kukunja.
Nimevimiss hivyo visimu...
🐜🐝🐞🕷️🕸️🦂🐛🦋🐌🦑🦐🦀🐚🦗🦗🦗🦗Unaandika kama umekalia Dudu
HTC walibamba sanaNokia 5800 Xpress music
HTC Mozart
HTC Desire....
Nokia
Nokia..to-date!