Huyu si Saganda au?View attachment 1632017
je hii picha imepigwa na camera ya simu gani?
Nikweli Kiujumla Huawei ni simu kali sana tatizo lililonikuta mimi majina/contacts zangu nilizokua nasave kumbe hazikua zinaenda google, siku nabadili simu kumbe majina yote yalibaki kwenye Huawei.Motorola C113 simu yangu ya kwanza
Kwa heshima kazini hasa na kile kikalamu nikatumia Samsung series ya Note
Ila for a true performance naiappreciate Huawei P30 ambayo bado natumia.
Lumia zilikuwa na personal assistance nzuri sana. Ingawa haikuwa simu yangu ya kwanza kutumia ila nilipenda sana. Kwa vile tu microsoft wameitelekeza lakini bado ilikuwa bestMimi lumia 1520 ilikua ni hatari mashine ile, gps yake noma sana, ilikua inakusomea incoming message alaf inakuuliza should i read it ukijibu yes inatiririka meseji yote.
Hademashi, Takala Mashi, Fredy NtogwisangoHuyu si Saganda au?
Nimekusoma Mkwezi😂😂😂Hademashi, Takala Mashi, Fredy Ntogwisango
Acha mapepe, andika vizuri uelewekeNokia E61i
Nilikuwa naiweka mezani nikitika ofisi za mbele, boss lazima ichungulie.
Aluminium frame.
Utakuwa una Gono.Acha mapepe, andika vizuri ueleweke
Unaandika kama umekalia DuduUtakuwa una Gono.
Kama huunganishi akili na macho