Simu ya aina gani umeshawahi kuitumia na ukaikubali sana?

[emoji115] hii simu dah ilikuwa na navigation key kama kirungu cha gari . Ni wewe kuamua kupeleka juu xhini kulia kushoto.
Hii kipindi nmemaliza form four dah walikoma. hii hapa ndio huwa naitumia sasa ukiachana na hii simu kubwa niliyonayo
 
Wabongo bhana!!!!,Mtu amekusaidia bado unamwita beberu.Anyway km mfadhili wako ni beberu kwa hiyo wewe ni mbuzi jike?.
 
Samsung
 
Huawei kiboko
Huawei Kishkwambe! Aisee mchina atabakia kuwa mchina!

Tokea nilivyohama nimedumbukia mazimaaa! Nabadili series tu!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Samsung s2....hapa mji uliniona jeuri asee ile simu na ka amoled kake basi nilikua hata nikiiwasha gizani naona kama niko ulaya vile....
Picha kali enzi hizo ...
Acha tu
Na kwa kupitia hio simu samsung wakawa wamepata mteja wa kudumu
 
Saiv nipo na HUAWEI P 10 PLUS...sidhani kama nitakuja kubadilisha kampuni..
Huawei Kishkwambe! Aisee mchina atabakia kuwa mchina!

Tokea nilivyohama nimedumbukia mazimaaa! Nabadili series tu!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Nokia c2 nilitumia ikinifanya niheshimu simu za nokia,na ile nyingine yenye mfuniko wa bati kama silver, kipindi icho ndo nilikua fb mtaa mzima vijana wakawa nawaonyesha xx ,phonecrotica kipind icho ,sextowap,waptrick,redwap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…