Simu ya aina gani umeshawahi kuitumia na ukaikubali sana?

Simu ya aina gani umeshawahi kuitumia na ukaikubali sana?

Kuna simu zinasifiwa kweli Sikh izi REDMI XIAOMI lakin sijapata comments hats moja kuhusu ubora wao
 
BlackBerry Bold 9930 . Enzi izo BBM iko moto balaaaa ..watoto wazuri wotee wana blackberry .. utaskia coco ping !!!

Yani ni kama saivi mtu awe na iPhone 12

Ivi BBM sio copy ya whatssap kweli? Nani alianza kumcopy mwenzie? Blackberry au zuckerberg?
 
Nokia obama mpaka sasa naitumia

Sasa nipo natamba internet na Nokia 6 pia
 
Samsung s2....hapa mji uliniona jeuri asee ile simu na ka amoled kake basi nilikua hata nikiiwasha gizani naona kama niko ulaya vile....
Picha kali enzi hizo ...
Acha tu
Na kwa kupitia hio simu samsung wakawa wamepata mteja wa kudumu
Hahaha
 
Ivi BBM sio copy ya whatssap kweli? Nani alianza kumcopy mwenzie? Blackberry au zuckerberg?
BBM toka 2005 na WhatsApp 2009 ..ata ivo huwezi sema wassap kamkopi BBM kwasababu bbm ilikua inatumia pin na ilikua kwa wenye blackberry tuu
 
Back
Top Bottom