Simu ya infinix inajaa chaji kwa dakika 10

Simu ya infinix inajaa chaji kwa dakika 10

DUMEGUY

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
499
Reaction score
206
Kampuni ya infinix wamemtumia Concept phone 2021 unbox therapy na kuizungumzia pia kushangazwa kwa kujaa chaji kutoka 0 hadi 100 ndani ya dakika 10 tu.



7B1CF504-0B9A-4B5A-954E-0677D606F8E4.png

55F10916-6795-429C-936E-5F59B00E2692.png
 
Huko tuendako haya madude yatalipuka yenyewe sasa
 
Betri litakufa mapema

Yeah litakufa mapema kabisa wanasema hizo wanazoziita ultra fast charger ndio zinaua battery mapema linakuwa halina hata maisha marefu. duh dakika 10 nataka jujua battery life vipi linakaa au ndio unacharge dakika kumi unatumia nunu saa tu[emoji23][emoji23]

Nahis tunaendea kwa ile air charge...concept ya xiaomi ya device kuwa charged bila ya waya wala wireless charger hewan hewan hiyo[emoji28]
 
Ndio maendeleo haya. Nakumbuka zamani ukinunua diskava unachaji saa24 hata kama imejaa unaambiwa iache tuu kwenye moto.😂😂😂😂😂 Tumetoka mbali sana
 
Dah....how? Jifunze mifumo ya kuchaji inavyofanya kazi.....chaji ni nishati...ina hisabatu zake za kuingia....ina hisabati jinsi inavyotoka[emoji2960][emoji1787][emoji1787]
wacha ubishi,hawa jamaa zenu wanakuja na kitu ambacho wengine waliishafanya.

oppo amefanya majaribio na chaja yake ikaonyesha uwezo wa kujaza 100% ndani ya 8.akarudisha utafiti kabatiti kwanza maana battery inaishiwa ubora mapema.
 
Hamna tatizo hayo ni maendeleo ya technologia. Inamaanisha hiyo battery inakuwa vi-battery vidogo vidogo vingi ndani (selli ndogo nyingi) ambavyo vichajiwa kila kimoja kivyake kwa umeme mdogo.
 
Tutakuwa tunatembea kama tuna mabomu ya kutupa kwa mkono kama makomandoo
Utakapokuwa umeipata ya namna hiyo mkuu unatarajia kuitwa commando nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my cupboard using mug
 
Back
Top Bottom