MWEMBEKIUNO
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,877
- 2,489
Hapana haliwezi kufa maana limetengenezwa kuwa na uwezo wa kupokea walts nyingi, ila ukitumia hiyo chaja kwenye simu nyingine ambazo hazina uwezo wa kupokea walts nyingi hapo ndio utaua betriBetri litakufa mapema