MWEMBEKIUNO JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 1,877 Reaction score 2,489 Jul 8, 2021 #21 masafi said: Betri litakufa mapema Click to expand... Hapana haliwezi kufa maana limetengenezwa kuwa na uwezo wa kupokea walts nyingi, ila ukitumia hiyo chaja kwenye simu nyingine ambazo hazina uwezo wa kupokea walts nyingi hapo ndio utaua betri
masafi said: Betri litakufa mapema Click to expand... Hapana haliwezi kufa maana limetengenezwa kuwa na uwezo wa kupokea walts nyingi, ila ukitumia hiyo chaja kwenye simu nyingine ambazo hazina uwezo wa kupokea walts nyingi hapo ndio utaua betri