๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐˜๐—ผ๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐—ฌ๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—š๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐˜๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐˜‡๐˜„๐—ฎ ๐— ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ถ ๐Ÿญ ๐Ÿ˜€

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
Screenshot_20261001-205012.png

Simu inaitwa Punkt MP02 ni simu ndogo isiyo na TikTok, Instagram wala YouTube, lakini bei yake inaweza kukushangaza! ๐Ÿ”ฅ

Imejengwa kwa ajili ya simplicity, privacy na kuondoa usumbufu wa smartphone. ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ

2_20261001_211945_0001.png
5_20261001_211945_0004.png

๐Ÿ“ฑ Kwa nini MP02 ni ghali?
๐Ÿค‘ Bei rasmi ya sasa ni kuanzia CHF 299 โ€” takribani TSh milioni 1+, kabla ya gharama za usafirishaji/kodi.
๐Ÿ›œ Ina 4G LTE, Wi-Fi na Bluetooth.
๐Ÿ“ Ina 2GB RAM + 16GB storage.
๐Ÿ“ฑ Screen ni ndogo ya 2.0-inch, 320ร—240.

6_20261001_211945_0005.png
7_20261001_211945_0006.png

๐Ÿ”Œ Ina USB-C, GPS na battery ya 1,280mAh.

Je ungekubali kununua simu hii ya kitochi kwa Gharama ya Shilingi 1,000,000/= kwa Pesa ya Kitanzania ๐Ÿ˜€ tuachie maoni yako ?
 
View attachment 3682063
Simu inaitwa Punkt MP02 ni simu ndogo isiyo na TikTok, Instagram wala YouTube, lakini bei yake inaweza kukushangaza! ๐Ÿ”ฅ

Imejengwa kwa ajili ya simplicity, privacy na kuondoa usumbufu wa smartphone. ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ

View attachment 3682064View attachment 3682065

๐Ÿ“ฑ Kwa nini MP02 ni ghali?
๐Ÿค‘ Bei rasmi ya sasa ni kuanzia CHF 299 โ€” takribani TSh milioni 1+, kabla ya gharama za usafirishaji/kodi.
๐Ÿ›œ Ina 4G LTE, Wi-Fi na Bluetooth.
๐Ÿ“ Ina 2GB RAM + 16GB storage.
๐Ÿ“ฑ Screen ni ndogo ya 2.0-inch, 320ร—240.

View attachment 3682066View attachment 3682067

๐Ÿ”Œ Ina USB-C, GPS na battery ya 1,280mAh.

Je ungekubali kununua simu hii ya kitochi kwa Gharama ya Shilingi 1,000,000/= kwa Pesa ya Kitanzania ๐Ÿ˜€ tuachie maoni yako ?
Mawasiliano salama yakoje
 
Back
Top Bottom