View attachment 3682063
Simu inaitwa Punkt MP02 ni simu ndogo isiyo na TikTok, Instagram wala YouTube, lakini bei yake inaweza kukushangaza! ๐ฅ
Imejengwa kwa ajili ya simplicity, privacy na kuondoa usumbufu wa smartphone. ๐ฎโ๐จ
View attachment 3682064View attachment 3682065
๐ฑ Kwa nini MP02 ni ghali?
๐ค Bei rasmi ya sasa ni kuanzia CHF 299 โ takribani TSh milioni 1+, kabla ya gharama za usafirishaji/kodi.
๐ Ina 4G LTE, Wi-Fi na Bluetooth.
๐ Ina 2GB RAM + 16GB storage.
๐ฑ Screen ni ndogo ya 2.0-inch, 320ร240.
View attachment 3682066View attachment 3682067
๐ Ina USB-C, GPS na battery ya 1,280mAh.
Je ungekubali kununua simu hii ya kitochi kwa Gharama ya Shilingi 1,000,000/= kwa Pesa ya Kitanzania ๐ tuachie maoni yako ?