simu ya mkononi

simu ya mkononi

mtu akishakua na mwenzi wake ambae wamefikia hatua ya ku-mix damu zao bila kinga hawapaswi kua na siri nzito kiasi cha kutokubali simu iangaliwe na mwenzi wake.ukiona tu mtu anakua mkali na simu yake lazima ujue kuna siri nzito humo.fanya juu chini uijue before its too late.ukipuuza mawili yanaweza kukukuta.moja ukaletewa ugongwa na pili ukastukia kibuti.bora ugundue mapema then wewe ndio upige kibuti kuliko usigundue halafu uje ustukizwe kwa kipigwa kibuti.
 
Unapoamua kuchunguza unakuwa unatafuta nini, na je, unakuwa umejiandaa kwa concequences utakazokutana nazo?

Nafikiri "Imani yatosha"
 
Kuna jamaa,Mwanza alivizia mpaka akapata kusoma sms ktk simu ya mkewe,one sms ilikuwa inatoka kwa bwana wa mkewe ikimsifia mama watoto jinsi anavyojua kulawitiana.jamaa mwenye mke ata uo mchezo aujui,na ajawai ktk miaka 5 ya ndoa yao.ile ilimchanganya jamaa akaachana na mkewe,watoto ndo wanaoteseka.haya yote yasingelitokea kama baba asingesoma sms ktk simu ya wife

huyo mke alikua hafai ni bora huyo baba alivyojua na kuhusu watoto mama ndio atalaanika kwa kusababisha yote mtu anaenda kulawitiwa nje saa nyingine hata hao watoto sio wa huyo baba
 
Unapoamua kuchunguza unakuwa unatafuta nini, na je, unakuwa umejiandaa kwa concequences utakazokutana nazo?

Nafikiri "Imani yatosha"

Watu wamrudie MUNGU wa kweli
Amen!!!!
 
Unapoamua kuchunguza unakuwa unatafuta nini, na je, unakuwa umejiandaa kwa concequences utakazokutana nazo?

Nafikiri "Imani yatosha"

hapo sasa unaweza jikuta ghafla uko mochalwe
 
Husninyo, you remind me of girl that i once knew,i see her face whenever i read your posts!!(and your name)naomba mungu tu isiwe coincidence,wallah tena!samhani kama nimekukwaza.:violin:
(samahani waungwana nilichepuka nje ya mada kidogo)
 
weken cm mezan
cm apana pass word
ikiita unaweza mwambia honey pokea sm mwambie naoga...................hahhha hahhaha km xmas haijawatokea pemben...wanaume wanawake wa siku iz simu tatu zikiingia basi moja itakuwa ya NYUMBA MBOVU....hatari!!!!
ukijiamini unakuwa huru na cm yako pia itakuwa huruuuuuuuuuuuuu kinyume na hapo ni cm kuwa kipima joto
asanten.nawasilisha.
THUBUTU...nani kaolewa???????????????????? hakuna shika simu yangu, wala kujipunguzia salio!!!nimeweka password kila kona, si unajua mambo ya sumsung!! hakuna ...kumruhusu mtu...awe wife, girlfriend wala demu...no no nooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Siku alipokuwa mkali na simu siku hizo ndo nilianza kuchakachua simu kama wangu wa ndoa kwa nini afiche simu mara atoe mtetemo mara afunike thimu mara mda mwingi mfukoni hapo ikabidi tuweke mezani wote makubaliano na viapo vya ndoa mwili mmoja kilichokua chake ni changu chanbgu chake no kufichana sasa ni shwali ila siruhisiwi kupokea simu yake kama yupo na yeye apokee hapo hapo wala si choon ashike simu yangu na mimi nishike yake kama tuna vyoshikana vingine mhh
 
Kama huna cha kuficha hautachukizwa au kukataa mwenza wako asiangalie simu yako. Mara nyingi watu walio na ya kuficha ndo hukwazika. Na ukiwa kwenye ndoa unajua kabisa nini ambacho hupaswi kufanya. Imani pekee doesn't cut it kwani ndoa si imani bali ni hali halisi ya uhalisia.
 
Ni vizuri kujua kinachoendelea kwenye maisha ya mwenzi wako (mliofunga ndoa) - siku hizi - tukiachilia mbali kuwa mwenzi wako anaweza kuwa na mpenzi mwingine - lakini kuna issue nyingine za kutisha: Hebu fikiria kama:
1. Mkeo/Mumeo ni jambazi au anapanga deals za ujambazi???
2. Mkeo/Mumeo ni tapeli - yaani anatumia njia za udanganyifu kupata fedha?
3. Mkeo/Mumeo anakopa hela za watu - harudishi???

Tusichukulie kuwa ndani ya simu ni issue za mapenzi tu - ila hata mambo niliyotaja hapo juu - hivyo ni muhimu kujua kilichomo ndani ya simu ya mwenza wako la sivyo unaweza kustukia uko polisi - kumbe unaishi na jambazi/tapeli/mkopaji asiyelipa madeni

Mawasiliano ya simu yameshamiri sana siku hizi - na mengi yanafichwa kwenye simu - ni vyema kuweka SIMU MEZANI - HAKUNA SIRI KATI YA WAWILI WAPENDANAO OTHERWISE MAPENZI YAO YATAKUWA NI USANII MTUPU - nawasilisha
 
Hoja imara sana hizo na inahitaji akili kuzielewa na si hisia.

Mawasiliano ya simu yameshamiri sana siku hizi - na mengi yanafichwa kwenye simu - ni vyema kuweka SIMU MEZANI - HAKUNA SIRI KATI YA WAWILI WAPENDANAO OTHERWISE MAPENZI YAO YATAKUWA NI USANII MTUPU - nawasilisha

Hii nayo inasimama kwa ubora wake. Usiri kwene mapenzi ni usanii.
 
Kuna jamaa,Mwanza alivizia mpaka akapata kusoma sms ktk simu ya mkewe,one sms ilikuwa inatoka kwa bwana wa mkewe ikimsifia mama watoto jinsi anavyojua kulawitiana.jamaa mwenye mke ata uo mchezo aujui,na ajawai ktk miaka 5 ya ndoa yao.ile ilimchanganya jamaa akaachana na mkewe,watoto ndo wanaoteseka.haya yote yasingelitokea kama baba asingesoma sms ktk simu ya wife

Asa ulitaka jamaa aendeleee kuliwa mali zake pamoja na huko kuchafu chafu?
 
Back
Top Bottom