Very true shunie aisee nina principal kuwa sim yako ni yako sawa na yangu ni yangua kama nna shida ya kufanya upuuzi nawezaa kufanya na simu nmekuachia mezanumeona Bonny kama umemchoka mtu mnataka kuachana ndio muanze kuchunguzana ili umtafutie sababu
Kwel kabisa mama Simu yangu Upekuzi wa nin?hivi siku nyingine naongeaga uongo eenh kila mtu abaki na simu yake jamani ili tuishi maisha marefu kupekuana sio kuzuri bado tunahitaji kuishi
Kile kile cha siku zote mama tena ya baridiiiiiiiiiiiunakunywa kinywaji gani nikuagizie kaka bonny
Asante pia kwako kwa mada nzuriAsante
kunywaaaa bill ije kwangu
Mimi Na demu wangu hilo tatizo la simu tumelishinda zamani!usaliti ni tabia ya mtu mkuu hata ushike simu yake kila siku kama ni msaliti anakusaliti tu