[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimepapenda hapooo huyu mzee anao wengiAmenena nini Ney. Kutokushika simu ? Huyu mzee ni mwoga anao wengi. Mimi simu yako sitakuwa na mipaka nayo nikitaka kuishika kama kuna haja naishika tena vizuri.
Mama klaree. Simu yake lazima niishike. Siwezi kuishi na mwizi ndani au na usalama wa taifa huku sijui mimiUnamwambia nani bamdogo
Kila mtu na simu yake jamaanMambo ya kushikiana cm ni ya nini Daby? Kujitia pressure tuu pasipo sababu ya msingi no one is perfect jamani, kwanini nishike cm yake niumie hali ya kuwa sina uwezo wa kumuacha wooiiiii naachana nayo.
Wewe kwanini uogope kushikwa simu yako?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mama klaree yupi sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama klaree. Simu yake lazima niishike. Siwezi kuishi na mwizi ndani au na usalama wa taifa huku sijui mimi
Mueleweshe bamdogo wako naona kagomaKila mtu na simu yake jamaan
MeonaeeeeAmani ya moyo muhimu shoo
Natamani niandike sema mimi mvivu wa kuandika points. Ila nachokuambia ukiwa na mpenzi anayeficha ficha vitu mwogope saana na sio simu tu hata siri zingine.Mimi siogopi yangu kushikwa ila sitaki kushika yake
Nyie niwaache tu ila niwaachie wosia zamani tuliambiwa ukiona mtoto hataki kula kwa marafiki zake basi jua na yeye hataki marafiki zake wale kwao. Ujumbe huu uwafikie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu si mbishii acha aendelee hivyo hivyo
Hilo ni kubwa, ila kuna muda inawezekana isiwe hivyo ila mtu kwa pressure ukatafsiri tofauti, sasa kuepukana na hayo ni bora kila mtu asishike cm ya mwenzieKwa hiyo tunaogopa kushika simu za wenza wetu kisa tunahofia kukuta madudu tusiyoweza kudeal nayo siyo? Naomba unijibu pulizzz
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nyie niwaache tu ila niwaachie wosia zamani tuliambiwa ukiona mtoto hataki kula kwa marafiki zake basi jua na yeye hataki marafiki zake wale kwao. Ujumbe huu uwafikie.
Mengine namwachia Mungu.
Hahhahh bamdogo kila mtu na simu yake ukiona hivyo juwa tunataka amani ya mioyo yetu halaf yameshatukuta kupekua pekua huku kumuacha mtu huwezi ya nini sasaNyie niwaache tu ila niwaachie wosia zamani tuliambiwa ukiona mtoto hataki kula kwa marafiki zake basi jua na yeye hataki marafiki zake wale kwao. Ujumbe huu uwafikie.
Mengine namwachia Mungu.