Tena kwa taarifa zako wasiopenda kushika simu za wenza wao ndiyo wa kwanza anapopata chance ya kuishika hukimbilia kuperuz haraka haraka ili asikutwe.Hilo ni kubwa, ila kuna muda inawezekana isiwe hivyo ila mtu kwa pressure ukatafsiri tofauti, sasa kuepukana na hayo ni bora kila mtu asishike cm ya mwenzie
Mh! Acha woga mkuuHilo ni kubwa, ila kuna muda inawezekana isiwe hivyo ila mtu kwa pressure ukatafsiri tofauti, sasa kuepukana na hayo ni bora kila mtu asishike cm ya mwenzie
Hongera BamdogoTena kwa taarifa zako wasiopenda kushika simu za wenza wao ndiyo wa kwanza anapopata chance ya kuishika hukimbilia kuperuz haraka haraka ili asikutwe.
Tuliozoea kushika ukikutana na jambo baya unauliza unaeleweshwa Na siku zote unaishi bila mashaka.
Najaribu kuyafasiri mahusiano ya wenza wasionyeshana hata umbea wa Insta kwenye simu. Maana nimezoea kuambiwa baba klaree chukua angalia hii picha. Sasa kama mmenyimana kushikiana simu ukiwa unaangalia hiyo picha si hauruhusiwi hata ku-scrow chini? Duuh poleni
Naona unajidanganya hakuna mwizi uliyekuwa unamkamata kwa kuondoa mitego uliyokuwa unamkamatia.Hahhahh bamdogo kila mtu na simu yake ukiona hivyo juwa tunataka amani ya mioyo yetu halaf yameshatukuta kupekua pekua huku kumuacha mtu huwezi ya nini sasa
Kweli tupu.....................
Najaribu kuyafasiri mahusiano ya wenza wasionyeshana hata umbea wa Insta kwenye simu. Maana nimezoea kuambiwa baba klaree chukua angalia hii picha. Sasa kama mmenyimana kushikiana simu ukiwa unaangalia hiyo picha si hauruhusiwi hata ku-scrow chini? Duuh poleni
Unaogopa nini?Sishiki simu yake yangu ashike tu
Pole sana. Ulikutana/au wewe ulikutwa na kitu ya ajabu?Nimeshaumwa na nyoka mkuu kwahiyo lazima niogope
Sio uwoga bali sitaki magonjwa ya kujitakia, mtu unampenda sana ya nini kumfatilia? Mie naona ni upuuzi tuu kushika cm yake, kuna baadhi ya vitu ni minor sana ila ukiviona kama mwenzi wake lazima vikuume sasa tabu yote ya nini, nahitaji amani ya moyo kwa mpz wangu sio kutafuta karaha.Mh! Acha woga mkuu
Vingine ni vya kupuuzia tuu kama mtu unahitaji furaha na amaniTena kwa taarifa zako wasiopenda kushika simu za wenza wao ndiyo wa kwanza anapopata chance ya kuishika hukimbilia kuperuz haraka haraka ili asikutwe.
Tuliozoea kushika ukikutana na jambo baya unauliza unaeleweshwa Na siku zote unaishi bila mashaka.
Najaribu kuyafasiri mahusiano ya wenza wasionyeshana hata umbea wa Insta kwenye simu. Maana nimezoea kuambiwa baba klaree chukua angalia hii picha. Sasa kama mmenyimana kushikiana simu ukiwa unaangalia hiyo picha si hauruhusiwi hata ku-scrow chini? Duuh poleni
Hahaha! Eti ugonjwa wa kujitakia.Sio uwoga bali sitaki magonjwa ya kujitakia, mtu unampenda sana ya nini kumfatilia? Mie naona ni upuuzi tuu kushika cm yake, kuna baadhi ya vitu ni minor sana ila ukiviona kama mwenzi wake lazima vikuume sasa tabu yote ya nini, nahitaji amani ya moyo kwa mpz wangu sio kutafuta karaha.
Du! Haya pole sanaNilikutana
Mimi swahiba sijawahi kuelewa lengo la kuwekeana mipaka ya namna hiyo.Kweli tupu.
Unajua ni nini kaka masai shida huwa inaanzia kwenu kwa sababu mara nyingi ndio mnaofanya simu tusizishike kwa sababu hebu chukulia kila siku nikiishika na kutana na vitu ambavyo wewe kama wewe huwezi kunyoosha maneno nikaelewa.Amenena nini Ney. Kutokushika simu ? Huyu mzee ni mwoga anao wengi. Mimi simu yako sitakuwa na mipaka nayo nikitaka kuishika kama kuna haja naishika tena vizuri.
Kwakweli hii mipaka ina lake jambo siyo bure.Mimi swahiba sijawahi kuelewa lengo la kuwekeana mipaka ya namna hiyo.
Yaani ulivyoanza kunitaja tu haya waambie wachuchu nipo machungani.Unajua ni nini kaka masai shida huwa inaanzia kwenu kwa sababu mara nyingi ndio mnaofanya simu tusizishike kwa sababu hebu chukulia kila siku nikiishika na kutana na vitu ambavyo wewe kama wewe huwezi kunyoosha maneno nikaelewa.
Ndio mana huwa tunajiamulia kutoishika ili kupata amani ya moyo na kama mimi yangu haina mipaka na ya mwenzangu hajanikataza kuishika ila nimejikataza mwenyewe baada ya kujiona siishi kusononeka.