Simu ya tachi ni ushamba

Simu ya tachi ni ushamba

Kikusya

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
274
Reaction score
380
Nimeona niliweke hili ili kuwaweka huru wengi wetu, ambao tunakimbilia kununua simu za bei ghali halafu mwisho wa siku unaweka bando la mia tano (500) kwa mwezi.

Hizo hela za simu afadhari ungeweka bili ya maziwa ya ng'ombe kwa Massawe kuhimarisha afya ya mwili na akili.
Tusipende kuiga ili mradi tu wakuone na wewe haupo nyuma, ni ushamba.
 
Nimeona niliweke hili ili kuwaweka huru wengi wetu, ambao tunakimbilia kununua simu za ghali halafu mwisho wa simu unaweka bando la mia tano (500) kwa mwezi.
Hizo hela za simu afadhari ungeweka bili ya maziwa ya ng'ombe kwa Massawe kuhimalisha mwili na akili.
Tusipende kuiga ili mradi tu wakuone na wewe haupo nyuma ni ushamba.
Tuacheni na simu janja zetu
 
Nimeona niliweke hili ili kuwaweka huru wengi wetu, ambao tunakimbilia kununua simu za bei ghali halafu mwisho wa siku unaweka bando la mia tano (500) kwa mwezi.
Hizo hela za simu afadhari ungeweka bili ya maziwa ya ng'ombe kwa Massawe kuhimarisha afya ya mwili na akili.
Tusipende kuiga ili mradi tu wakuone na wewe haupo nyuma, ni ushamba.
Upo Buheba zeba sehemu gani ndugu Muanzisha mada.
 
Ushamba upo wa aina mbalimbali na wewe unao wako na hatusemi, mfano kuazima simu ya mtu ili uje utuambie kununua tachi ni ushamba
 
Halafu umenifuma ndiyo nimetoka kununua bando la Sh. 500. Hii TECNO haki ya nani inaniadhirisha aisee lakini ndo mazoea sasa nitafanyeje? [emoji16][emoji16][emoji16]

Mleta mada hufai!

Screenshot_20230329_181910_Messages.jpg
 
Wewe unaetumia simu ya kitochi umewezaje kutupostia sisi ambao tunatumia simu za touch hadi tukaweza kusoma ujumbe wako.
 
Nimeona niliweke hili ili kuwaweka huru wengi wetu, ambao tunakimbilia kununua simu za bei ghali halafu mwisho wa siku unaweka bando la mia tano (500) kwa mwezi.

Hizo hela za simu afadhari ungeweka bili ya maziwa ya ng'ombe kwa Massawe kuhimarisha afya ya mwili na akili.
Tusipende kuiga ili mradi tu wakuone na wewe haupo nyuma, ni ushamba.
Njoo PM nikupe namba za mirembe mkuu
 
Nimeona niliweke hili ili kuwaweka huru wengi wetu, ambao tunakimbilia kununua simu za bei ghali halafu mwisho wa siku unaweka bando la mia tano (500) kwa mwezi.

Hizo hela za simu afadhari ungeweka bili ya maziwa ya ng'ombe kwa Massawe kuhimarisha afya ya mwili na akili.
Tusipende kuiga ili mradi tu wakuone na wewe haupo nyuma, ni ushamba.
Wasukuma bhana...
 
Tafuta hela makasiriko madogo madogo yataisha,mie situmii simu ilimradi kama smart iwe simu kweli,sinawahi kutumia tecno
 
Back
Top Bottom