Kikusya
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 274
- 380
Nimeona niliweke hili ili kuwaweka huru wengi wetu, ambao tunakimbilia kununua simu za bei ghali halafu mwisho wa siku unaweka bando la mia tano (500) kwa mwezi.
Hizo hela za simu afadhari ungeweka bili ya maziwa ya ng'ombe kwa Massawe kuhimarisha afya ya mwili na akili.
Tusipende kuiga ili mradi tu wakuone na wewe haupo nyuma, ni ushamba.