Tuacheni na simu janja zetuNimeona niliweke hili ili kuwaweka huru wengi wetu, ambao tunakimbilia kununua simu za ghali halafu mwisho wa simu unaweka bando la mia tano (500) kwa mwezi.
Hizo hela za simu afadhari ungeweka bili ya maziwa ya ng'ombe kwa Massawe kuhimalisha mwili na akili.
Tusipende kuiga ili mradi tu wakuone na wewe haupo nyuma ni ushamba.
Angalau elfu 30!Tunatakiwa kuweka bando la shilingi ngapi kwa mwezi?
Smart walau bando la 30k kwa mwezi.Tunatakiwa kuweka bando la shilingi ngapi kwa mwezi?
SawaAngalau elfu 30!
SawaSmart walau bando la 30k kwa mwezi.
Tofauti na hapo smart hauifaidi.
Upo Buheba zeba sehemu gani ndugu Muanzisha mada.Nimeona niliweke hili ili kuwaweka huru wengi wetu, ambao tunakimbilia kununua simu za bei ghali halafu mwisho wa siku unaweka bando la mia tano (500) kwa mwezi.
Hizo hela za simu afadhari ungeweka bili ya maziwa ya ng'ombe kwa Massawe kuhimarisha afya ya mwili na akili.
Tusipende kuiga ili mradi tu wakuone na wewe haupo nyuma, ni ushamba.
Njoo PM nikupe namba za mirembe mkuuNimeona niliweke hili ili kuwaweka huru wengi wetu, ambao tunakimbilia kununua simu za bei ghali halafu mwisho wa siku unaweka bando la mia tano (500) kwa mwezi.
Hizo hela za simu afadhari ungeweka bili ya maziwa ya ng'ombe kwa Massawe kuhimarisha afya ya mwili na akili.
Tusipende kuiga ili mradi tu wakuone na wewe haupo nyuma, ni ushamba.
Wasukuma bhana...Nimeona niliweke hili ili kuwaweka huru wengi wetu, ambao tunakimbilia kununua simu za bei ghali halafu mwisho wa siku unaweka bando la mia tano (500) kwa mwezi.