TECNO Tanzania
Senior Member
- Jul 6, 2016
- 192
- 217
Hii ni habari njema kwa watumiaji wa simu janja. Kampuni ya yetu imezindua simu janja SPARK 8C ambayo inapatikana kwa bei poa kabisa ya Tsh 240,000/= kwa SPARK 8C yenye 64GB + 2GB na Tsh 290,000/= kwa SPARK 8C yenye 64GB + 3GB.
Katika simu hiyo kuna teknologia ya “Memory fusion”. Unaweza kujiuliza Memory fusion ni kitu gani? Huo ni uwezo wa simu kuongeza nafasi ya RAM kutoka 3GB kuongezeka mpaka 6GB katika mfumo wa kuongeza 1GB, 2GB au 3GB inategemea na mtumiaji anapendeleaje.
Pia simu hiyo itakuwa na kioo cha 6.6 inches HD+ kioo kikubwa na kipana zaidi kwa wale wapenda kuangalia movie kwenye simu itawafaa zaidi. SPARK 8C itakuwa na kamera 2 nyuma na kamera moja mbele. Pia inasemekana simu hiyo itakuwa na battery kubwa ambayo itamuwezesha mtumiaji kukaa na chaji kwa muda mrefu.
Katika uzinduzi huo pia walitangaza promotion yao inayokwenda kwa jina la MCHONGO WA SPARK 8C. Ambapo mteja wowote wa SPARK 8C akinunua ataingia kwenye droo kubwa ya kushinda TSH 5,000,000/=. Bila kusahau watapata zawadi papo hapo dukani ya Bluetooth speaker na 78GB kutoka tigo.
Kufahamu zaidi juu ya ujio wa SPARK 8C Tembelea tovuti yao: Home-tz-坦桑尼亚-斯瓦西里语