Simu yako ina GIF? Hebu tupia tuone

Binti yangu vipi? Hujambo? Huyu dadi wako bana ni mtihani kweli kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Salama Daddy...shikamoo...sio mtihani Daddy kuna sehemu nilikusoma unapenda misambwanda na miguu kwahiyo nimeona kawaida tu Daddy wangu.

Ninachojaribu kufanya ni kukifurahia kile ambacho dadi wangu anakifurahia ili kumfanya aendelee kuwa na furaha siku zote 😎😎
 

Marahabaaa....

Asante sana. U binti mwema [emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…