Simu yako ina GIF? Hebu tupia tuone

Simu yako ina GIF? Hebu tupia tuone

Mfinyanzi....
719366380.gif
 
Binti yangu vipi? Hujambo? Huyu dadi wako bana ni mtihani kweli kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Salama Daddy...shikamoo...sio mtihani Daddy kuna sehemu nilikusoma unapenda misambwanda na miguu kwahiyo nimeona kawaida tu Daddy wangu.

Ninachojaribu kufanya ni kukifurahia kile ambacho dadi wangu anakifurahia ili kumfanya aendelee kuwa na furaha siku zote 😎😎
 
Salama Daddy...shikamoo...sio mtihani Daddy kuna sehemu nilikusoma unapenda misambwanda na miguu kwahiyo nimeona kawaida tu Daddy wangu.

Ninachojaribu kufanya ni kukifurahia kile ambacho dadi wangu anakifurahia ili kumfanya aendelee kuwa na furaha siku zote [emoji41][emoji41]

Marahabaaa....

Asante sana. U binti mwema [emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom