Simu yako ina GIF? Hebu tupia tuone

Simu yako ina GIF? Hebu tupia tuone

Hiyo ilikua fainali ya world cup 2006 mkuu, France vs Italy. Zidane hapo akapigwa nyekundu, na akastaafu kabisa timu ya taifa. Game iliisha 1 - 1. Italy alishinda 5 - 3 kwa penati

[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
.
giphy.gif
 
Back
Top Bottom