Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soon naenda kuchatia kitandani ndio nitachaji hapo hapo
Furu chaje babu
Nikilinganisha JF ya miaka ile na ya sasa naona kuna mabadiliko makubwa sana.
Niko na dk nyingi za halotel, lete namba nikupigie [emoji3]
😂😂😂😂Ipo 93 alafu umeme upo ikifika 15 unashangaa umeme umekatika
Iandike hapaNjoo uchukue
halafu ni mabadiliko yenye kasi kubwa.Nikilinganisha JF ya miaka ile na ya sasa naona kuna mabadiliko makubwa sana.
Hamna kitu kama hiiIkikulipukiaa?
Hamna kitu kama hii
26%Mwana Jamii Forum simu yako charge ipo asilimia ngapi mda huu?
Mimi hii yangu nahisi ishakuwa pasi maana siwezi kuitumia mpaka nichomeke kwenye socket.
3% ipo natumia huki nachaji
Hatari sana, mara nyingi huwa inanikuta hiyoIpo 93 alafu umeme upo ikifika 15 unashangaa umeme umekatika
882% na bado haijajaaView attachment 1208236