Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei ya kuflash inategemeana uko sehemu gani, kama ni Dar hata 10K unaflash ila huko mikoani kuanzia 20K.Simu yangu aina ya tecno pop1 imezima kuna fundi kaicheki kasema inatakiwa iflashiwe je kuflash ni sh ngapi? Je inaweza kusolve tatizo?
jamaa kasema kila kitu kizima so kwa kariakoo naweza kuflash kwa elfu10? Simu haina muda mrefu sana tangu ninunueBei ya kuflash inategemeana uko sehemu gani, kama ni Dar hata 10K unaflash ila huko mikoani kuanzia 20K.
Kuflash inaweza kuwa solution maana siunaweka firmware version mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
Flash sasa kwa elfu 10 kwani tatizo nini.Kanambia sh15 mi naona parefu nataka ni flash kwa sh10
Simu yangu aina ya tecno pop1 imezima kuna fundi kaicheki kasema inatakiwa iflashiwe je kuflash ni sh ngapi? Je inaweza kusolve tatizo?
umenistua sana uliposema simu kumbe ni tecno mkuu hiyo ni kawaidaSimu yangu aina ya tecno pop1 imezima kuna fundi kaicheki kasema inatakiwa iflashiwe je kuflash ni sh ngapi? Je inaweza kusolve tatizo?
umenistua sana uliposema simu kumbe ni tecno mkuu hiyo ni kawaida
Sent using IPhone X
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Flash sasa kwa elfu 10 kwani tatizo nini.
[emoji23][emoji23]jamaa kamjibu kihuni kwelikweli[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
Anastahili majibu ya hivyo maana anakaza nati za kichwa[emoji28]
Kwanza imezima mazingira gani ? Usikute saketi ndo ishaaga dunia , nazijua vema tecno karibu Rwagasole plaza wapo watoa huduma. Not for free but u will paid amount [emoji16]jamaa kasema kila kitu kizima so kwa kariakoo naweza kuflash kwa elfu10? Simu haina muda mrefu sana tangu ninunue
Ha ha kwa iyo tunaotumia tecno ni kifaa cha mawasililiano na siyo simu ama?
Sent using Jamii Forums mobile app