msondomba
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,895
- 2,410
Ukifanikiwa kuiflash na ikawaka fresh tafuta mjinga uiuze haraka iwezekanavyo iyo simu,urudishe angalau nusu hasara.Simu yangu aina ya Tecno pop1 imezima kuna fundi kaicheki kasema inatakiwa iflashiwe je kuflash ni sh ngapi?
Je, inaweza kusolve tatizo?
Sent using Jamii Forums mobile app