Simu yangu ambavyo imechangia kubadili mfumo wa maisha

Simu yangu ambavyo imechangia kubadili mfumo wa maisha

jozee jose

Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
52
Reaction score
120
Leo napenda kuzungumzia Simu yangu kwa namna ambavyo imechangia kubadili mfumo wa maisha yangu katika mitazamo, kielimu, kijamii, kisiasa, kitamaduni burudani hata kidini.

Wakati wa miaka ya 2005 hadi 2007 ndipo smartphone au simu janja zilipanza kuja kwa kasi katika nchi zetu, Watu wengine walizipokea kwa mitizamo tofauti. Nakumbuka wengine waligoma kuzishika wakidai kuwa ile touch screen inafyonza damu😂😂....

Lakini takwimu za hivi punde zinaonyesha matumizi ya simu janja ni makubwa sana barani Afrika hasa katika utumiaji wa mitandao ya kijamii.

Binafsi mitazamo yangu mingi imebadilika sana kwa skutumia simu janja na nimepata faida kwa Asilimia kubwa
Kwanza kwenye mambo ya elimu imeniwesha kujua kiingereza kwa upande wa Listening skills, English conversation hata material mengi tu, kwa kweli kwangu lilikuwa tatizo kubwa lakini kwa sasa napata ahuheni.

Jambo la pili , imenirahisishia mambo ya burudani saaana, zamani nilikuwa naazima movies kwa DVD na flash disc, lakini kwa sasa nina movie box, terranium tv, cartoon HD, DJ Afro movies ambazo naweza ku access movies nyingi sana.

Pia naweza angalia mpira LIVE kwa kutumia steaming tubes kama football live HD, Na mengine mengi sana

Jambo la tatu simu imenisaidia kujifunza tamaduni za ndani na nje ya nchi, nimekuwa nikienda u tube kungalia life style ya nchi kama Thailand, Venezuela,Brazil, Japani, China, USA, South Korea, Norway,Jamaica, Ghana , Nigeria na nk kimsingi nimepata mwangaza mkubwa na hili limeniweka niwe na ujasiri wa mazingira yaliyonizunguka.

Jambo la nne simu janja imeniwezesha hata kujifunza mambo ya kiimani , kama vile kusikiliza mafundisho mbalimbali kwa videos hata kufata vitabu kwa kupitia playstore, pia nimekua nikisoma kwa kutumia encyclopedia ili kujijenga vizuri

La mwisho simu yangu imenikutanisha na ndugu, marafiki, jamaa niliopoteana nao
Pamoja na mazuri yote hapakosi changamoto nazo ni
  1. SMS za tuma kwa namba hii jina litakuja lile
  2. Bando halikai kila siku najiunga bando la wiki
  3. Ninatafutwa na watu wanaoniazima pesa na wanaonidai tu
  4. Adds zinazokuja ni za video chats za wadada wakiwa uchi

Na mengine mengii

Taja zako mdauu
 
Leo napenda kuzingumzia Simu yangu kwa namna ambavyo imechakingia kubadili mfumo wa maisha yangu katika mitazamo,kielimu, kijamii,kisiasa,kitamaduni burudani hata kidini.
Wakati wa miaka ya 2005 hadi 2007 ndipo smartphone au simu janja zilipanza kuja kwa kasi katika nchi zetu, Watu wengine walizipokea kwa mitizamo tofauti.Nakumbuka wengine waligoma kuzishika wakidai kuwa ile touch screen inafyonza damu😂😂...
Lakini takwimu za hivi punde zinaonyesha matumizi ya simu janja ni makubwa sana barani Afrika hasa katika utumiaji wa mitandao ya kijamii.
Binafsi mitazamo yangu mingi imebadilika sana kwa skutumia simu janja na nimepata faida kwa Asilimia kubwa
Kwanza kwenye mambo ya elimu imeniwesha kujua kiingereza kwa upande wa Listening skills, English conversation hata material mengi tu, kwa kweli kwangu lilikuwa tatizo kubwa lakini kwa sasa napata ahuheni.
Jambo la pili , imenirahisishia mambo ya burudani saaana, zamani nilikuwa naazima movies kwa DVD na flash disc, lakini kwa sasa nina movie box, terranium tv, cartoon HD, DJ Afro movies ambazo naweza ku access movies nyingi sana.
Pia naweza angalia mpira LIVE kwa kutumia steaming tubes kama football live HD, Na mengine mengi sana
Jambo la tatu simu imenisaidia kujifunza tamaduni za ndani na nje ya nchi, nimekuwa nikienda u tube kungalia life style ya nchi kama Thailand, Venezuela,Brazil, Japani, China, USA, South Korea, Norway,Jamaica, Ghana , Nigeria na nk kimsingi nimepata mwangaza mkubwa na hili limeniweka niwe na ujasiri wa mazingira yaliyonizunguka
Jambo la nne simu janja imeniwezesha hata kujifunza mambo ya kiimani , kama vile kusikiliza mafundisho mbalimbali kwa videos hata kufata vitabu kwa kupitia playstore, pia nimekua nikisoma kwa kutumia encyclopedia ili kujijenga vizuri
La mwisho simu yangu imenikutanisha na ndugu, marafiki, jamaa niliopoteana nao
Pamoja na maziri yote hapakosi changamoto nazo ni
1.Sms za tuma kwa namba hii jina litakuja lile
2.Bando halikai kila siku najiunga bando la wiki
3.Ninatafutwa na watu wanaoniazima pesa na wanaonidai tu
4.adds zinazokuja ni za video chats za wadada wakiwa uchi
Na mengine mengii
Taja zako mdauu
Simu yako haikusaidii kiuchumi na kwenye mishe zako?
 
Sim yangu imenisaidia kama vyako ila ongeza na KUBETI
 
Back
Top Bottom