NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,868
- 5,164
Mimi nimekulia kwenye simu zile za kukoroga kama unapiga hendeli
Hizi simu za smart sizijui sana.
Simu yangu haliishi lisaa inaniambia kuna junk files nizifute
Nikiangalia unakuta junk zinakuwa na ukubwa wa 900MB hata na zaidi kufikia GB
naomba msaada ni wapi nimekosea
Ni mpya aina ya Galaxy M23