NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,868
- 5,164
hili jibu limekaa vizuri kitaalam ahsante sanaHujakosea kaka, ni kawaida kabisa. Simu mpya kama Galaxy M23 hukusanya junk files kama cache ya apps. Hizo ni takataka za muda tu. Ukizifuta, hauharibu chochote badala yake unaipa simu nafasi na kasi. Tumia Device care kufuta kwa usalama.
ku restore factory set inahitaji moyo usumbufu wake unaanza A kujiregister app zingine kama facebook,linkein,twitter n.kIngia settings Kisha I restore mkuu
Tahadhali, majina yote ambayo hauja save kwenye sim card yatapotea isipo kuwa tu ya kwenye sim card yatabaki
sikujua Samsung Galaxy M23 ni mpyaHujakosea kaka, ni kawaida kabisa. Simu mpya kama Galaxy M23 hukusanya junk files kama cache ya apps. Hizo ni takataka za muda tu. Ukizifuta, hauharibu chochote badala yake unaipa simu nafasi na kasi. Tumia Device care kufuta kwa usalama.