big soap
Senior Member
- Feb 22, 2020
- 197
- 270
Leo asubuhi majira ya saa kumi na moja na nusu asubuhi, nikiwa na familia safarini kutembelea shamba maeneo ya Kisarawe, muda huo ndugu yangu x akiwa anadrive maeneo ya Malamba Mawili kwa ndodi, baada ya kufika maeneo hayo ndugu yangu dereva aliniambia nishike usukani.
Yeye sio mzoefu sana wa kudrive manual, pia kwa sababu gari ni yangu alihisi mimi nimeizoea zaidi. Jamaa akashuka na kwenda kupata haja ndogo pembeni, hadi hapo mazingira yalikuwa salama kabisa.
Mara nikaona bodaboda inakuja mbelE on windscreen ikapita iyoooo, kupitia mirror nikaona jamaa anageuza (hapo nilipaki pembeni kidogo huku nimekaa kwenye kiti cha dereva gari imekaa mkao wa kuangalia Kinyerezi), jamaa wakasogea karibu kabisa.
Mimi simu ipo mkononi naangaza JF kidogo, kimwoneko kama walikuwa wanakuja kuuliza kitu fulani, yaani dizain kana walikuwa wamepotea. Gafla yule jamaa wa nyuma kanyanyua kono lake adi kwenye simu ngaaaa!
Kang'ang'ania kama mikono ina gundi vile. Mungu vile macho hayakutoka kwenye mirror, nikakaza mikono kwenye simu kwa sababu lisimu ni likubwa sana zaidi ya inch saba jamaa mkono wake uliishia kushika upande wa nyuma na kwenye kioo ivyo mkono wake uliteleza kirahisi na hakufanikiwa kuinyakua.
Tunakumbashana jamani, tahadhari ni muhimu sana.