Jitahidi utafute simu aseeHabari wakuu,
Nina simu Samsung Galaxy Grand Prime+ imepatwa na hili tatizo linaloitwa ghost touch. Yaani screen inachezacheza yenyewe bila kubonyezwa na mtu. Nimejaribu njia kadhaa nilizoona mtandaoni kama restart, update software, clean screen lakini hazikufaa. mwenye ujuzi naomba msaada. nilishawahi kupata hili tatizo kwenye Tecno lakini liliisha lenyewe bila kufanya chochote. Ila hii samsung ni siku ya tatu leo siwezi kufanya nayo chochote. Msaada please kwa wale wataalamu.
Nunua iPhone au pixel hazna stucks Wala pausHabari wakuu,
Nina simu Samsung Galaxy Grand Prime+ imepatwa na hili tatizo linaloitwa ghost touch. Yaani screen inachezacheza yenyewe bila kubonyezwa na mtu. Nimejaribu njia kadhaa nilizoona mtandaoni kama restart, update software, clean screen lakini hazikufaa. mwenye ujuzi naomba msaada. nilishawahi kupata hili tatizo kwenye Tecno lakini liliisha lenyewe bila kufanya chochote. Ila hii samsung ni siku ya tatu leo siwezi kufanya nayo chochote. Msaada please kwa wale wataalamu.
Nunua iPhone au pixel hazna stucks Wala paus
Sasa kwa sim Kam Samsung ni serious sana ,fany uirekebishe system inawez kufa mazimaghost touch ni damage kwenye display,inawezatokea kwenye simu yoyote.
Habari wakuu,
Nina simu Samsung Galaxy Grand Prime+ imepatwa na hili tatizo linaloitwa ghost touch. Yaani screen inachezacheza yenyewe bila kubonyezwa na mtu. Nimejaribu njia kadhaa nilizoona mtandaoni kama restart, update software, clean screen lakini hazikufaa. mwenye ujuzi naomba msaada. nilishawahi kupata hili tatizo kwenye Tecno lakini liliisha lenyewe bila kufanya chochote. Ila hii samsung ni siku ya tatu leo siwezi kufanya nayo chochote. Msaada please kwa wale wataalamu.
Nenda kwa authorized dealer wa Samsung wana tech desk watakusaidiaHabari wakuu,
Nina simu Samsung Galaxy Grand Prime+ imepatwa na hili tatizo linaloitwa ghost touch. Yaani screen inachezacheza yenyewe bila kubonyezwa na mtu. Nimejaribu njia kadhaa nilizoona mtandaoni kama restart, update software, clean screen lakini hazikufaa. mwenye ujuzi naomba msaada. nilishawahi kupata hili tatizo kwenye Tecno lakini liliisha lenyewe bila kufanya chochote. Ila hii samsung ni siku ya tatu leo siwezi kufanya nayo chochote. Msaada please kwa wale wataalamu.
Sawa. Acha nitafute japo Infinixnje ya mada kidogo kiongozi.
haka ka simu ni kabovu mno toka kamekuja duniani 2015.fanya kukatelekeza tu utafute kengine hapo kameroga kioo,kenyewe thamani yake kwa sasa hata elfu 70 hakauziki,kioo kutengeneza utakuta ni elfu 45,chagua maamuzi sahihi hapo.
Asante. Sijui kama Arusha hao dealers wapo. nikienda mjini nitaaangaliaNenda kwa authorized dealer wa Samsung wana tech desk watakusaidia
Ulizia mafundi simu watakuelekeza walipoAsante. Sijui kama Arusha hao dealers wapo. nikienda mjini nitaaangalia
bei hiyo hapana mkuuNiuzie mimi -60, 000 ofa yangu
Basi napanda -120, 000bei hiyo hapana mkuu
Sawa mkuu. nimemwambia fundi anitafutie kingineOndoa hicho kioo weka kingine
Nicheki whatsapp. Nimekutumia namba pmBasi napanda -120, 000
Hyo ni negative 120, 000. Yani unanipa simu na hiyo hela.Nicheki whatsapp. Nimekutumia namba pm